Binti amegoma kukutana kimwili {sexy} mpaka aolewe

Tman900

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2017
Posts
589
Reaction score
1,897
Leo kabla ya Mechi ya Yanga Kuanza. Kuna mteja alikua anahitaji Bidhaa Fulani
Tulipofikia Makubaliano ya Hiyo Bidhaa nikakubaliana nae kumfikishia anapoishi( deliver).

Sasa Mara Baada ya Kufika, nikakutana na Mteja wangu, Tukaingiza mzigo ndani tukamkabizi mzigo wake.
Akamuita Baby( Mpenzi ) Baby Njoo kidem kinatoka Room kina Kanga tu.

Kuja Sebreni Dada si namjua,
Uko Mtaani ninakoishi Kuna Dogo, ameniamboa kua Kuna binti anaempenda anataka amuoe, ila bint ataki wafanye chochote mpaka watakapo oana.

Dogo anasema alimbembeleza sana mwanamke amekataa anataka mpaka waone ndo ampe penzi.

Okey Kwa kua mi niliambiwa hivyo,nkasikiliza sikuchangia chochote,nikapokea Kadi ya mchango wa Harusi.

Yule Dogo mara nyingi huwa napiga nae story kitaani.
Sasa kwa tukio la Leo Demu aliponiona akainama akashindwa kabisa kuniangalia na ni Demu wa mtaani uko ninakoishii.

Ebana Balaa, Demu akikuambia tusifanye chochote mpaka unioe Kuna mtu anampa mzigo temana nae huyo Demu.
 
Idiot hueleweki
 
Umepeleka bidhaa unatoa siri za watu๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ biashara haitaki hivyo
Hakika. Siri zza mteja wako jikaushe kama hujaona kitu na uhakikishe anakuamini.

Bodaboda wanalijua sana hili,, anaweza kuwa anmpeleka mkeo guest house kil siku lakini mkikutana anakusalimia kwa unyenyekevu hadi unahisi wewe ndio umemuajiri
 
We kula mbususu tambaa, mapenzi mpende mama yako.
Maana ndo atabaki nawewe maisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ