mapenzi si sawa na tamaa japo yaweza kuanza na tamaakweli mapenzi mabaya mapenzi hayafai yaliyomkuta ngoswe nusura yakukute na wewe
Imenipa hamu ya kufanya tuwe na mawasaliano ya kudumuKawaida sana sema haya mambo hayafanani machoni pa watu, we unaweza kuangalia tunda ukasema limeiva kwa kuliwa mwingine akasema hapana limeiva sana siliwezi mwingine akasema tunda raha ulile bichi na chumvi.
Waweza jikuta unasema huyu nae, mbona anajipromo wa kawaida sanaa ila kuna vinasaba ambavyo kila mwanaume kwa nyakati tofauti akiviona huona Kasie ni bonge ya totoz hehehehe hata hivyo sikuhizi nshazeeka si kama nilivokuwa kigori.
Hapo kidogo fresh
Imenipa hamu ya kufanya tuwe na mawasaliano ya kudumu
Mi mzima tu.. Ilaaaa.. Mengine nitamalizia kule....Ikemee hiyo hamu ndo yanaanzaga hivohivo mwisho wake utashuka kituo sio chako heheheheheheee
Mambo lakini?. Kasie ana kusalimu.
Mi mzima tu.. Ilaaaa.. Mengine nitamalizia kule....
aah mkuu,mtoto alifungashia,sijui mbegu ya mji gani ile aisee,na vile vinywele visafiiiii kama mkia wa Farasi.. Ndio nikajikuta nauli ya 40,000, naiona kama 450 ya Tabata-Tandika.Yaani unakutana na mwanaume eti on the spot na anataka mtongozo. Hujafahamiana hata siku mbili eti twende mahali tukapumzike. Ukweli Busara usipokuwa nazo utaonekana fala Fulani au limbukeni. Wanaume mjifunze uvumilivu na kuficha aibu. Halafu wengine tamaa tu hela hata ya kukunulia Sosa hana halafu unataka mwanamke. Wa Kazi gani? Ukimtaka mwanamke wa ukweli uwe na kifua pia cha kuhakikisha unampa good time. Ila na wewe kabla hujaelewana na mwanamke unaanzaje kushuka njiani??? Khaaaa
Pole sana mkuu. Ulikuwa umeishaanza kumsomesha au ndio ulikuwa unataka uanze baada ya kushuka mkuu? Panda treni uwahi interview.Wakuu nimeamini mapenzi yana nguvu kiasi kwamba waweza fanya mambo mengine kwa msukumo usiokua na tija. Juzi hapa nimekuwa nikisafiri kutoka mkoani kwenda Dar, but ndani ya bus kulikua na mrembo machachari mno kiasi kwamba nikajipa moyo kama atafanikiwa kushukia ninaposhukia basi siwezi mlazia damu.
Bahati mbaya akawa ameshuka Iringa, nami mtu mzima nikajitosa nika drop kwa vile nilimuelewa sana. Bus likaondoka, ile najiandaa kumsemesha mara ghafla akaja jamaa kajaa jaa hivi, yaonesha ni jamaa yake maana kwa zile hugs nikajua hapa sina changu, then wakatokomea kusikojulikana.
Basi mtu mzima nikaanza kuhaha pesa ya rum na usafiri wakunifikisha safari yangu ukizingatia nilikua nina interview ya kikazi.
Wanawake bwana, sijui mlinyunyuziwa sumaku ya aina gani!
wife wako anaitwa nani maana humu tupo na ma shemeji hatujuani kwa ID fakeMke wangu nilimpatia kwenye basi.Ulikua natokea Usangi Kilimanjaro naenda Moshi 2009.Kuna Bus zinaitwa Fantastic Enzi izo.Mara gari ikasimama mitaa Fulani akazama ndani.Sikuchelewa nikaanza story sana,aliponizoea naomba mawasiliano.Sikumtongoza kwanza hadi nilipojua historia yake fupi.Tuliwasiliana sana na Mimi nkamuuliza mzazi akadai anawajua familia yao.Nikalia shida mtoto akanielewa na tukawa marafiki.Nipo nae ni mama watoto wangu toka 2011.Yani usingeshuka we ungeomba mawasiliano.pia usijitoe sana mapema kumpenda hadi kuriski maisha kwa usiyemjua.