Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizo swagg za wanafunzi wa boarding.Hahahahahahaa polee
Nafasi yako ilikuwa ndani ya basi ucheze karata zote ili binti asishuke Iringa uende nae hadi Dar angekuwa keshamuacha jamaa yake. Hehehehee polee.
Nakumbuka nilipokuwa kigori **** mkaka alishuka kwenye daladala kituo sio chake na alinisindikiza hadi nyumbani hehehe. Kote huko sijamjibu hata kimoja alichokuwa ananiongelesha. Nilipokaribia nyumbani nikamwambia skiza nipe namba ya simu ya kazini kwako na anuani ili mimi nikutafute maana enzi hizo geti kali na sikutaka apajue nyumbani. Nikimuacha anisindikize kutoka kituo cha daladala hadi karibu na nyumbani maana kigiza cha saa kumi na mbili jioni kilikuwa kimetanda hivo nilikuwa na woga wa kutembea mwenyewe.
Hahahaha nilikuwa nashangaa wanaume unaanzaje kumfatilia mschana hata humjui tena alinilipia nauli, simjibu chochote aniongeleshacho mie natembea tuu hahahah
Kwenye daladala sasa akishakulipua nauli utaona konda anauliza sheli. ... kimya.... kwa mpemba.... kimya... jamaa anasubiria binti aseme shusha ili naye ashuke.
Siku ingune nilikutana na jamaa wa hivi na nilimuuza maana nilikuwa natoka kawe naenda posta, baada ya kunilipia nauli nikasema leo atakoma maana ukimuangalia usoni anakutazama kwa macho ya kukutongoza tuu.
Kufika mbuyuni konda kuuliza mbuyuni nikasema shusha, yeye akatangulia kusimama na kushuka mie nikajichelewesha nilisimama kisha nilipoona kushuka nikainama na kurudi kukaa. Konda kuuliza mwingine kimyaa.... akaruhusu gari iondoke heheheheh nilichungulia nje jamaa macho yanamtoka maana mda ule kupata usafiri wa posta maeneo yale ni shida.
Poleni ila nilifanya yale kwakuwa ilikuwa utoto tuu hahahaha kweli wanaume mmeumbiwa mateso.
Wakati nasoma sekondari kuna mvulana flani alishanisindikiza toka tumeshuka kwwnye daladala hadi eneo la tuition wakati huo na yeye anasoma tuition ila kwingine. Siku hiyo alinisubiri hadi mie nimetoka tuition na tunarudi tumepanda daladala moja. Akanilipia nauli, sikutaka apajue nyumbani hivyo niliposhuka mwisho wa kituo nikamwambia nipe address ya shule unayosoma na jina tuandikiane barua si unajua home kuna mbwa wakali? Akanielewa ndo nikamtoa kihivyo daah.
Yaani mleta mada nimekuelewa sanaa. Pole kwa yaliyokusibu sio pekeyako ni wanaume wengi tuu huwakuta haya.
Una sifa sana wewe! Unatoka wapi au kabila gani?Hahahahahahaa polee

Mkuu muda wa kufahamiana unategemeana na mvutiano kati ya wawili...ke na me....ikitokea mvutano ukawa chanya hata siku hiyohiyo mlokutana mnagegedana. Umeona eeh? Ila kama chaji hazijakubali ndipo inaweza kuchukua muda kushawishiana.Yaani unakutana na mwanaume eti on the spot na anataka mtongozo. Hujafahamiana hata siku mbili eti twende mahali tukapumzike. Ukweli Busara usipokuwa nazo utaonekana fala Fulani au limbukeni. Wanaume mjifunze uvumilivu na kuficha aibu. Halafu wengine tamaa tu hela hata ya kukunulia Sosa hana halafu unataka mwanamke. Wa Kazi gani? Ukimtaka mwanamke wa ukweli uwe na kifua pia cha kuhakikisha unampa good time. Ila na wewe kabla hujaelewana na mwanamke unaanzaje kushuka njiani??? Khaaaa
Hatua za kufanyia kwenye gari yeye amezifanyia wakati keshashuka... uzembe huohayo ni mapenzi au tamaa??
Una sifa sana wewe! Unatoka wapi au kabila gani?
Hahahaha. Uwe makini usije unga tela kwa jini. Anyway ni kujipa control to maana hao wazuri sana fahamu kuwa nao wanagombaniwa kama Mpira wa kona. Hivyo wanaume mnajaza train ya Mwakyembe.aah mkuu,mtoto alifungashia,sijui mbegu ya mji gani ile aisee,na vile vinywele visafiiiii kama mkia wa Farasi.. Ndio nikajikuta nauli ya 40,000, naiona kama 450 ya Tabata-Tandika.
Mkuu hapana aise. Mpime japo miezi 3. Ila kama hit and run basi ndo hivyo tena. Ukweli mwanaume akianza kwa gia ya ngono huwa ninamdharau kiasi Fulani.Mkuu muda wa kufahamiana unategemeana na mvutiano kati ya wawili...ke na me....ikitokea mvutano ukawa chanya hata siku hiyohiyo mlokutana mnagegedana. Umeona eeh? Ila kama chaji hazijakubali ndipo inaweza kuchukua muda kushawishiana.