Binti amenichanganya mpaka nimeshukia njiani

Hizo swagg za wanafunzi wa boarding.
 
Halafu mwisho wa siku unaanza kulalamika hupatia ajira maisha magumu
 
mapenzi pesa sasa huna hela ulibaki ili iweje kama selfie ungepiga nae kwenye bas kuendelea n.a. safari pole kapuku wa hela n.a. mawzo
 
Una sifa sana wewe! Unatoka wapi au kabila gani?
 
Mkuu muda wa kufahamiana unategemeana na mvutiano kati ya wawili...ke na me....ikitokea mvutano ukawa chanya hata siku hiyohiyo mlokutana mnagegedana. Umeona eeh? Ila kama chaji hazijakubali ndipo inaweza kuchukua muda kushawishiana.
 
Ndan ya gar ulishindwa kuomba namba au wakat wa kula?
 
Kasinde Jamaa wa Mbuyuni ulicheza kama Pele!

Hahaha kama movie la Kihindi!

Yaani we acha, mie wa kulipiwa nauli walianza tangu nasoma sekondari. Enzi hizo shule tulizosoma hakuna school bus, ukifika muda wa kutoa nauli unampa konda senti tato, unaambiwa ushalipiwa nauli daah.... sema tuu nililindwa vinginevyo ungekuta habari hizo nimezianza siku mingii.
 
aah mkuu,mtoto alifungashia,sijui mbegu ya mji gani ile aisee,na vile vinywele visafiiiii kama mkia wa Farasi.. Ndio nikajikuta nauli ya 40,000, naiona kama 450 ya Tabata-Tandika.
Hahahaha. Uwe makini usije unga tela kwa jini. Anyway ni kujipa control to maana hao wazuri sana fahamu kuwa nao wanagombaniwa kama Mpira wa kona. Hivyo wanaume mnajaza train ya Mwakyembe.
 
Mkuu muda wa kufahamiana unategemeana na mvutiano kati ya wawili...ke na me....ikitokea mvutano ukawa chanya hata siku hiyohiyo mlokutana mnagegedana. Umeona eeh? Ila kama chaji hazijakubali ndipo inaweza kuchukua muda kushawishiana.
Mkuu hapana aise. Mpime japo miezi 3. Ila kama hit and run basi ndo hivyo tena. Ukweli mwanaume akianza kwa gia ya ngono huwa ninamdharau kiasi Fulani.
 
Hahahaha. Uwe makini usije unga tela kwa jini. Anyway ni kujipa control to maana hao wazuri sana fahamu kuwa nao wanagombaniwa kama Mpira wa kona. Hivyo wanaume mnajaza train ya Mwakyembe.
mbona we mzuri kwahiyo umewajaza eeh
 
Mkuu hapana aise. Mpime japo miezi 3. Ila kama hit and run basi ndo hivyo tena. Ukweli mwanaume akianza kwa gia ya ngono huwa ninamdharau kiasi Fulani.
haha kumbe kiasi fulani na sio moja kwa moja,...hili nalo jipu kwakweli.......
 
Hayo sio mapenzi mkuu,utakuwa na nyege za kuku
 
Hayo sio mapenzi mkuu,utakuwa na nyege za kuku
mkuu sikushuka kwaajili ya mgegedo bali ililua nataka nizungumze nae kwa kina na kipata Data full package
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…