Binti amenipigia kelele kuwa nataka kumbaka baada ya kutokubali ushawishi wake wa kunitaka kimapenzi

Inawezekana Mzee Baba unaandika haya maneno ukiwa umevimba jicho na Meno ya mbele huna Kwa kisago ulichopewa.Ila hapa unaandika jinsi ulivyogawa kipigo na kutoa dozi ya mitama ya mbuzi km jet li kwenye muvi

Alafu Leo tarehe Tisa mkuu, women's Day ilikuwa Jana

[emoji1787]
 
Mkuu sidhano km atakua na majeraha
Huwa yaandikwa majeraha kibao feki kwa ushirikiano na daktari na polisi ili wakuchojoe pesa.

Tena hapo usishangae Kaenda kuandikisha kwamba ktk ule ugomvi pesa yake mil. 2 imepotea umemuibia unapaswa kuilipa.

Wanawake wakikushtaki polisi wanatetewa Sana, maana mashtaka dhidi yako yanakua mengi.

1. umemtukana matusi
(kosa la ufedheheshaj)

2. umemchania nguo zake
(kosa la udhalilishaji)

3. umempiga mtama kimo Cha mbuzi
(kosa la kujeruhi)

4. Umepiga watu chupa kichwani
(Kosa la kumshambulia kwa silaha)

5. Umemnyanga pesa kwa nguvu
(Umefanya uporaji wa Nguvu)

Hapo wakikusomea hivyo vifungu, Lazima TU pesa ikutoke myamalize pale pale polisi.

Kesi za hivi,
Ukijifanya mjuaji sana mwende mahakamani, mashahidi wapo wazi unanyea debe unajiona hivi hivi.

Hapa andaa fungu TU,
Otherwise omba asipate waalimu uko aendako.

HII KITU IMEWAHI NIKUTA NA KESI YAKE NILISHALETA HUMU ZAMAN KIDG.
Sema polisi walikua waelewa tukayamaliza.
 
U

UzI gan huo nika usome
 
U

UzI gan huo nika usome
Huu apa

Mwenzio Yusufu alipata ukuu wa nchi ya Misri ya misri kwa kusingiziwa kubaka mke wa potifa. Ila wewe hautaupata hata ukuu wa kata kwa sababu ulimpiga. Wewe ungesubiri tuu upelekwe polisi, then ufungwe, kisha uoteshwe uitwa ka mama ikulu umtafsiriea ndoto kama mbowe gaidi au sio gaidi, then ungesema mbowe gaidi, then angefungwa kisha mama angekupa uwaziri mkuu. Ndio basi tena sheikh wangu hasira hasaraa
 
Duuuh aina noma mkuu. Akiamua hivyo mi ntalipa ila utu wangu nitakua nimeutetea, its not a big deal. Atakua amepata fundisho huyu bitch
 
Mwenzio Yusufu alipata ukuu wa nchi ya Misri ya misri kwa kusingiziwa kubaka mke wa potifa. Ila wewe hautaupata hata ukuu wa kata kwa sababu ulimpiga. Wewe ungesubiri tuu upelekwe polisi, then ufungwe, kisha uoteshwe uitwa ka mama ikulu umtafsiriea ndoto kama mbowe gaidi au sio gaidi, then ungesema mbowe gaidi, then angefungwa kisha mama angekupa uwaziri mkuu. Ndio basi tena sheikh wangu hasira hasaraa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ktk utu wangu sina huruma mzee
 
mungu yu pamoja nawe kweli, bodaboda walimuua bondia Thomasi Mashali, nilikuwa namfagilia yule mwamba kweli.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom