Binti Amtaka Salah Afunge Akafanye Home work

Binti Amtaka Salah Afunge Akafanye Home work

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,156
Reaction score
13,258
Mshambulizi Hatari wa Mafarao wa Misri na Wekundu wa England Mohamed Salah amelazimika kumuomba radhi kupitia Ukurasa wake wa Twitter Binti mdogo aliyejiri Uwanjani na Bango lililomtaka awahi kufunga ili binti huyo naye awahi kufanya home work nyumbani
1542512841943.png


Hata hivyo matakwa ya Binti huyu ilibidi asubiri kudra ya hadi dakika ya 90 ambapo Salah alifanikiwa kumchambua mlinda mlango Farouk Ben Mustapha na kuifungia timu yake bao la ushindi dhidi ya Tunisia (almaarufu TAI WA MAGOFUNI) na kumtaka radhi binti huyu kwamba alijitahidi afunge mapema lakini haikuwezekana hadi dakika hiyo ya kuelekea ukingoni mwa mpambano huo ambapo Misri ilishinda 3-2 likiwa ni bao lake la 39 Kimataif
1542512870669.png
 
😂😂😂😂 Angekuwa
Sam magoli, Msuva, na Kichuya wangetoa mapovu sanaaaa at least boco ni mstaarabu sana.
 
Back
Top Bottom