BIG BROTHER ALEX
JF-Expert Member
- Sep 24, 2025
- 1,293
- 2,265
Kaonyesha uchi wake kwa hiyari yake mwenyewe na hajalazimisha mtu yoyote kuangalia? Is that how it was?DAH tulipo FIKA SIO pazuri, Kuna HUYO Binti MTANDAONI huonyesha uchi wake live insta, ALAFU anafunika, SIJUI ni WA bongo hapa, KWA KWELI SERIKALI YETU msichekee HAYA MAMBO tuelekeako WATOTO wetu WA kike wataharibikiwa, kama tunaweza kulalamika acc za wanasiasa FULANI zifungiwee tunaomba na acc za watu ka HAWA nazo zifungiwee, INASIKITISHA SANA Yani ANAONYESHA kabisa TENA insta live. Kitumbua HICHO, anawazalilisha wanawake wenzie HATA kama ni NJAA au kukuza acc, hapaaaanaaaa
WATOTO wetu ambao BADO HAWAJA komaa kiakili, ULISEMA iwe HIVO una Manisha dawa za KULEVYA zizwe HADHARANI SABABU MTU alazimishwi kutumia SIO?Uchi ni wake, sisi hautuhusu ndugu.Kama watu waki-ignore na kutowapa attention..wataacha wenyewe tu.Ukikutana na hayo mambo just ignore au delete account na usi-follow au usilete huku ili kuwapata attention.
Kuna mambo mengi mitandaoni na duniani ni wewe kuamua kusuka ama kunyoa.
SAWA LAKINI kila NCHI Ina Sheria zake SABABU ya kuwalinda WATOTO WADOGO ambao BADO HAWAJA komaa kifikra kakaKaonyesha uchi wake kwa hiyari yake mwenyewe na hajalazimisha mtu yoyote kuangalia? Is that how it was?
Just clarify this first.
Ukiamua kumpa mtoto smartphone mpe na elimu pia ya kumuongoza, hayo mambo 'ya ajabu' yapo hata mitaani. Parental guidance is very important.SAWA LAKINI kila NCHI Ina Sheria zake SABABU ya kuwalinda WATOTO WADOGO ambao BADO HAWAJA komaa kifikra kaka
Hajaweka hata link tuhakikishe kama siyo chai hiyo story yake.Huo uchi uko wapi?
Unaongelea huyu lakini wacheza video za ngono haujawaona? Tena wamejaa tele ni hatari zaidi kuliko huyoDAH tulipo FIKA SIO pazuri, Kuna HUYO Binti MTANDAONI huonyesha uchi wake live insta, ALAFU anafunika, SIJUI ni WA bongo hapa, KWA KWELI SERIKALI YETU msichekee HAYA MAMBO tuelekeako WATOTO wetu WA kike wataharibikiwa, kama tunaweza kulalamika acc za wanasiasa FULANI zifungiwee tunaomba na acc za watu ka HAWA nazo zifungiwee, INASIKITISHA SANA Yani ANAONYESHA kabisa TENA insta live. Kitumbua HICHO, anawazalilisha wanawake wenzie HATA kama ni NJAA au kukuza acc, hapaaaanaaaa
Hapana kaka video za ngono ZIPO TANGU Karne, ila HUYU staili alioingia NAYO SIO POA, ni simple SANA WATOTO kumuigaUnaongelea huyu lakini wacheza video za ngono haujawaona? Tena wamejaa tele ni hatari zaidi kuliko huyo
Watoto wako hawajakomaa wanafanya nini mtandaoni? Wajibika.WATOTO wetu ambao BADO HAWAJA komaa kiakili, ULISEMA iwe HIVO una Manisha dawa za KULEVYA zizwe HADHARANI SABABU MTU alazimishwi kutumia SIO?
Sio yule mzimbabwe ambaye kafungiwa account yakeDAH tulipo FIKA SIO pazuri, Kuna HUYO Binti MTANDAONI huonyesha uchi wake live insta, ALAFU anafunika, SIJUI ni WA bongo hapa, KWA KWELI SERIKALI YETU msichekee HAYA MAMBO tuelekeako WATOTO wetu WA kike wataharibikiwa, kama tunaweza kulalamika acc za wanasiasa FULANI zifungiwee tunaomba na acc za watu ka HAWA nazo zifungiwee, INASIKITISHA SANA Yani ANAONYESHA kabisa TENA insta live. Kitumbua HICHO, anawazalilisha wanawake wenzie HATA kama ni NJAA au kukuza acc, hapaaaanaaaa
Jamani😁😁Huo uchi uko wapi?
NINGE muonesha picha yake NINGE kuwa nimemtangazia soko, SIJA FANYA HIVO, kaka SIO kila alieko HUMU ni mhuni kama WEWE, vua basi NGUO na WEWE utembee uchi SI mwili wakoKuna watu hata anavyoandika unagundua ni mnafiki.
Wewe umejua anaonesha uchi na hupendi lakini cha ajabu bado unamfatilia.
Ulivyo mpumbavu umekuja kumtangazia soko kwa reason et serikali ichukue hatua kwa kitu mtu anafanya kwa hiari yake. Hao waserikali wao hawana nyuchi hadi washugulikie nyuchi ya mwingine.
Nani hajui mwanamke hana uchi?
Hao watoto wanao haribika wao hawana nyuchi zao ila ya mwenzao ndo inawaharibu?
Pole kwa ujinga wako mkuu.
Ana umri gani km ameshavuka miaka 14 huyo kashavunja ungo. Premature ejaculations foolish age.Kuna HUYO Binti MTANDAONI huonyesha uchi wake live insta