Binti anayeonesha uchi mtandaoni ‘Live’, achukuliwe hatua haraka

Binti anayeonesha uchi mtandaoni ‘Live’, achukuliwe hatua haraka

Wafundishe watoto kuwa na self-discipline, kuwabana si suluhusho.
HAPO MKUU umenena v
Civil Servant ni nani kwani? Wewe unaishi bongo ipi kijana mboni km unajikanyaga sana hueleweki
Utanielewa taratibu, HAMNA masikini WA HIVO, HATA SASA HUYO DEMU SI masikini kihivo anamiliki ndinga unasemaje HUYO maskini
 
Utanielewa taratibu, HAMNA masikini WA HIVO, HATA SASA HUYO DEMU SI masikini kihivo anamiliki ndinga unasemaje HUYO maskini
Hahaha tayarir nilijua tu kwa hio ndinga ndiio maisha mazuri? Oya ndinga hata wewe unaweza ukapoga nayo picha haukatazwi hio mboni ni issue ndogo sana, sikujua km utaelekea huko na apart from that huyo ni Chifu Godlove wa kike ushaelewa?
 
Mbona mbovu hivyo na sura ya baba yake nyuchi nyeusi yenye sugu
 
Hakikisha hakishafungiwa Akaunti yake wewe utachukua sehemu yake,Utakuwa unaonyesha Matako yako badala yake ili Vidume vikulie nyeto!
 
Kama huna ushahidi yatabaki kuwa malalamiko

Jina lake tafadhali
 
Comments 287 Watu wapo sensitive na uchi, wanataka picha au jina la mwenye uchi
 
Mimi mtoto akishafikisha 16yrs namnumulia smartphone yake, below that age waendelee kundandia za mama ya japo laptop na iPad wanatumia hata wadogo na hapo kikubwa ni guidance ya wazazi.
Mtoto wa kike 16yrs na mtoto wa kiume 16yrs ni tofauti sana, watoto wote wanapaswa kupewa elimu Rika, kwaajili ya kuwajenga kisaikolojia. Inapofika stage unampa uhuru wa kumiliki smartphone unakuwa umejihakikishia kwamba madhara hayatakuwa makubwa sana.

Kuna link za magroup ya uchafu,Kuna koneksheni Kuna picha za utupu zinazagaa mitandaoni kila uchwao, kizazi Cha thamani kinahitaji kulelewa na kutunzwa kwa nguvu zote.
 
DAH tulipo FIKA SIO pazuri, Kuna HUYO Binti MTANDAONI huonyesha uchi wake live insta, ALAFU anafunika, SIJUI ni WA bongo hapa, KWA KWELI SERIKALI YETU msichekee HAYA MAMBO tuelekeako WATOTO wetu WA kike wataharibikiwa

Kama tunaweza kulalamika acc za wanasiasa FULANI zifungiwee tunaomba na acc za watu ka HAWA nazo zifungiwee

INASIKITISHA SANA Yani ANAONYESHA kabisa TENA insta live. Kitumbua HICHO, anawazalilisha wanawake wenzie HATA kama ni NJAA au kukuza acc, hapaaaanaaaa
Mnalilia uhuru wahabari, tukiwapa mnaukataa.
 
SAWA LAKINI kila NCHI Ina Sheria zake SABABU ya kuwalinda WATOTO WADOGO ambao BADO HAWAJA komaa kifikra kaka
mtoto mdogo anapataje access ya mitandao? au ndio hao watoto Mnao wafuga badala ya kuwalea huko masaki na kwinginepo?
 
Back
Top Bottom