Ndo maana wazazi tunaaswa tusiwape watoto simu.Baadhi ya nchi wanatengeneza sheria za kuwalinda watoto na mitandao.Hata youtube kuna version za watoto..
Pili huwezi linganisha dawa za kulevya na masuala ya utupu.
Masuala ya utupu na ngono ni ubinadamu, sio vibaya, isipokua yana muda wake, hata hao watoto tumewapa kwa kuangalia utupu live na wake zetu, sio mbaya, suala ni timing.Wewe kama mtu uzima ukiangalia kwa ridhaa yako haina shida, utajijua mwenyewe, ukishindwa kujicontrol.
Lkn pia hata hayo madawa ya kulevya ni vile tu sio mambo unayoyafuatilia, otherwise ukiyataka na kuanza kufuatilia utashangaa jinsi kuna watu wana ka ulimwengu kao, wanatumia na kununua, na kuuza kama embe tu.