Binti anayeonesha uchi mtandaoni ‘Live’, achukuliwe hatua haraka

Kwani LENGO la KULETA hapa JF ni WEWE ukaangalie au tukemee hiyo tabia na NYINGINE kama HIZO, wakina ANKO t wamefanya mangapi mlisha wakemea, na je JUHUDI ZENU zimezaa matunda?
Wewe ni mpumbavu umeangalia uchi wa binti halafu unataka tukusaidie kukemea, jikemee wewe kwanza
 
Unajifanya mbabe Sasa, KESHO mtoto WAKO akiiga akaanza kusaura UNAANZA kuzifanya kukunja sura mtoto WA mwenzio ni WAKO pia, USISUBIRI mambo yaharibike
 
Binti yangu najua jinsi ya kumlea, ila mtu kama wewe unayependa kuangalia uchi wa mabinti ni wa kuweka mbali na mabinti zetu wapendwa​
 
HAHAHAHAAA MKUU BINTI YAKO AKINIPENDA SANA, WE HATA HAKUSIKILIZI ZAIDI ATAONA MDINGI NI MKUDA TU, TENA ATAKUWA ANANISIMULIA ULIVO MVIVU WA KUHUDUMIA FAMILIA, KILA KITU UKIOMBWA JIBU NI SINA
 
tuanze na

uchi n nn mwandishi??

nan anatakiwa kuuwona??

na wangap wameolewa ama kuoa na jukyta wa mwenzao aujaguswa
 
Hayo mambo ulitakiwa kuripoti misikitini au kanisani, serikali kujenga barabara tu bado ni shida halafu unataka waanze kufuatilia nyuchi za wanawake.
Sasa msikitini na kanisani WATAENDA kumkamata?
 
HAHAHAHAAA MKUU BINTI YAKO AKINIPENDA SANA, WE HATA HAKUSIKILIZI ZAIDI ATAONA MDINGI NI MKUDA TU, TENA ATAKUWA ANANISIMULIA ULIVO MVIVU WA KUHUDUMIA FAMILIA, KILA KITU UKIOMBWA JIBU NI SINA
Umejiona ulivyo muharibifu wa mabinti

Ndio maana watu wote wenye akili timamu wamekukataa kwenye uzi wako wamegundua wewe ndio michezo yako kuchungulia nyuchi za mabinti wadogo
 
tuanze na

uchi n nn mwandishi??

nan anatakiwa kuuwona??

na wangap wameolewa ama kuoa na jukyta wa mwenzao aujaguswa
MKUU hapa LENGO ni kujadili jinsi ya kuzuia HIVO vitendo na SI vinginevo
 
Hajaweka hata link tuhakikishe kama siyo chai hiyo story yake.
huyu jamaa anamuongelea mdada fulani hivi yule ni Content Creator wa Zambia staili yake ndio hiyo anafunua nguo kwa mbele kwa Spidi na kufunika kwa Spidi ndani ya Sekunde 1 anakuwa kashamaliza sasa Genz huwa wanamfuatilia sana wakiwa wanajaribu kuscreenshot na kuzoom ili waangalie.
Sasa huyu jamaa ndio amemuona huyo dada akajua ni Mtanzania.
 
Umejiona ulivyo muharibifu wa mabinti

Ndio maana watu wote wenye akili timamu wamekukataa kwenye uzi wako wamegundua wewe ndio michezo yako kuchungulia nyuchi za mabinti wadogo
MKUU usiniharibie SIFA ZANGU MKUU, Nisha PATA MKE mtarajiwa HUMU jamvini Sasa nikama unanichoma mkuu
 
huyu jamaa anamuongelea mdada fulani hivi yule ni Content Creator wa Zambia staili yake ndio hiyo anafunua nguo kwa mbele kwa Spidi na kufunika kwa Spidi ndani ya Sekunde 1 anakuwa kashamaliza sasa Genz huwa wanamfuatilia sana wakiwa wanajaribu kuscreenshot na kuzoom ili waangalie.
Sasa huyu jamaa ndio amemuona huyo dada akajua ni Mtanzania.
HASWA MKUU ndio HUYO, anafunua halafu anafunika KWA spidi lakini MNAKUA mshaangalia, na kitumbua mmekiona kabisa HANA HATA aibu Zambia karibu tuongee na ubalozi WAO wafanye jambo MANA SI PUNDE WA bongo wataiga views zinakimbia balaa
 
NINGE muonesha picha yake NINGE kuwa nimemtangazia soko, SIJA FANYA HIVO, kaka SIO kila alieko HUMU ni mhuni kama WEWE, vua basi NGUO na WEWE utembee uchi SI mwili wako
Kwani hamna watu wanatembea uchi huko mtaani?

Nani umeona anapagawishwa nao. Wewe kilichokuuma nini kama wengine wanaona fahari kuwa uchi? Tena wenye uchi wao?

Utashangaa umeuomba huo uchi ukanyimwa ukaja kulialia huku.

Wanawake wenyewe hawajalalamika we dume zima inakuuma . Mpuuzi sana! Badilika mambo yao waachie wenyewe hata kama anajichomachoma its oky
 
huyu jamaa anamuongelea mdada fulani hivi yule ni Content Creator wa Zambia staili yake ndio hiyo anafunua nguo kwa mbele kwa Spidi na kufunika kwa Spidi ndani ya Sekunde 1 anakuwa kashamaliza sasa Genz huwa wanamfuatilia sana wakiwa wanajaribu kuscreenshot na kuzoom ili waangalie.
Sasa huyu jamaa ndio amemuona huyo dada akajua ni Mtanzania.
PUngezeni risala wekeni picha au link. Mnataka tumfokee binti na hatujaona picha?
 
Kwani hamna watu wanatembea uchi huko mtaani?

Nani umeona anapagawishwa nao. Wewe kilichokuuma nini kama wengine wanaona fahari kuwa uchi? Tena wenye uchi wao?

Utashangaa umeuomba huo uchi ukanyimwa ukaja kulialia huku.

Wanawake wenyewe hawajalalamika we dume zima inakuuma . Mpuuzi sana! Badilika mambo yao waachie wenyewe hata kama anajichomachoma its oky
MI SIO MUHUNI MWENZAKO, BADILIKA BROTHER
 
Back
Top Bottom