HOST NOT FOUND
JF-Expert Member
- Dec 30, 2023
- 1,192
- 3,486
Noma sana,UKO SAHIHI kabisa WANAUME TULIVO waajabu, HUYO DADA utashangaa anaolewa TENA na MTU MWENYE Mali au mstaarabu KWA mgongo eti nataka nimbadili, kumbe hakuna lolote tamaa TU ya ngono na urafi WA chinichini
Hivi haujaliona hilo titi lilivyoshuka yaan limenyonywaaa kisha likanyonywa tena wewe haushtuki tu?Basi anamuonekano MZURI, ukimcheki utazani kitoto cha elf mbili
Kigezo cha matiti Nisha kitoa kabisa SIKU HIZI, Kuna dogo ni mtoto SANA namfahamu haja zaa Wala Nini ila titi alilo nalo ni balaa mkuuHivi haujaliona hilo titi lilivyoshuka yaan limenyonywaaa kisha likanyonywa tena wewe haushtuki tu?
View attachment 3554776
Wanafanya biashara, na Facebook wanatararibu zao wakiona watu wengi wamekureport Mzee you're done, kwani 230,000 USD mboni sio hela yoyote kwao wewe unafikiri wao wameingiza kiasi gani hapo maana hapo wanampa na wao wanachukua ushaelewa kwa hio kwenye 100 labda creator anakula 30 to 40 ila 60 ya kwao kwa hio wamekula mpaka ile waliyotakiwa kumpa nani kafirisika, hizo pesa ni za matangazo amka wewe Facebook wanapiga helaBasi hao Facebook, NAO miyeyusho SANA wanakuwa WAPI MPAKA MTU anaeneza ujinga kiasi KILE, Sasa wanashituka SAIVI MTU video zake zisha sambaa na WATU wanazo tiyari LABDA kama WAO WALIKUA wana hofia kufilisika KWA KUTOA kibunda na SI vinginevo
DEMU alikua ANAENDA kuwa bilionea with in short time, BILA invest yoyote ya mamilioni, MAISHA hayaHivi haujaliona hilo titi lilivyoshuka yaan limenyonywaaa kisha likanyonywa tena wewe haushtuki tu?
View attachment 3554776
Hakuna pesa ya short cut hivyo dada zako wanajitahidi sana kule TikTok na hawajawahi kurepotiwaDEMU alikua ANAENDA kuwa bilionea with in short time, BILA invest yoyote ya mamilioni, MAISHA haya
WAJINGA SANA hiyo akaunti ilitakiwa ifutwe MAPEMA SANA ila KITENDO CHA kusubiria MPAKA views wafike bilioni ni kiashiria tosha WALITAKA Chao kwanza ALAFU mambo mengine baadae, Kuna WASANII WETU nyimbo ZAO clip ZAO zinasota MUDA mrefu SANA views kiduchu ila DEMU chap TU alikua anaokota, nimejifunza KITU HAYA MAISHA SIO NGUVU Wala MTAJI MKUBWA WA PESA ni akili TU japo hiyo akili SIOWanafanya biashara, na Facebook wanatararibu zao wakiona watu wengi wamekureport Mzee you're done, kwani 230,000 USD mboni sio hela yoyote kwao wewe unafikiri wao wameingiza kiasi gani hapo maana hapo wanampa na wao wanachukua ushaelewa kwa hio kwenye 100 labda creator anakula 30 to 40 ila 60 ya kwao kwa hio wamekula mpaka ile waliyotakiwa kumpa nani kafirisika, hizo pesa ni za matangazo amka wewe Facebook wanapiga hela
Balaa gani kandambili? Kwani issue ni kuzaa au kugongwa? Usihamishe mada au hujanielewa namaanisha nini huyo kagongwa sana mbele sijui nyuma km hawajampitia piaKigezo cha matiti Nisha kitoa kabisa SIKU HIZI, Kuna dogo ni mtoto SANA namfahamu haja zaa Wala Nini ila titi alilo nalo ni balaa mkuu
Mwanamke yupi kadhalilishwa? Inaonyesha kama vile ni wewe umedhalilishwaDAH tulipo FIKA SIO pazuri, Kuna HUYO Binti MTANDAONI huonyesha uchi wake live insta, ALAFU anafunika, SIJUI ni WA bongo hapa, KWA KWELI SERIKALI YETU msichekee HAYA MAMBO tuelekeako WATOTO wetu WA kike wataharibikiwa
Kama tunaweza kulalamika acc za wanasiasa FULANI zifungiwee tunaomba na acc za watu ka HAWA nazo zifungiwee
INASIKITISHA SANA Yani ANAONYESHA kabisa TENA insta live. Kitumbua HICHO, anawazalilisha wanawake wenzie HATA kama ni NJAA au kukuza acc, hapaaaanaaaa
Wa kuonyesha nini uchi wazi wanapanua?Aisee Uo mtindo nliona last year IG kwa madem wa europe kumbe ulishafika africa.
Hao wananjaa asikwambie MTU, hao hawategemei kulipwa na TikTok hao we mwenyewe ukiwaelewa una wafata dm mnamalizana HATA EF 30 Sasa HAYO mamilioni yatafika lini KWA UTRATIBU huo mkuuHakuna pesa ya short cut hivyo dada zako wanajitahidi sana kule TikTok na hawajawahi kurepotiwa
Mwanamke yupi kadhalilishwa? Inaonyesha kama vile ni wewe umedhalilishwa
Aha kumbe SIKU HIZI NYIE kupanua uchi ni ruksa, basi NISAMEHE sikujuaMwanamke yupi kadhalilishwa? Inaonyesha kama vile ni wewe umedhalilishwa
Heheheheeee UNASEMA WAMATUMBI BADO? HUYO cha mtoto Kuna DEMU fb alikua anacheza mziki uchi WA mnyama BILA NGUO ZOZOTE na NAMBA zake kaweka pale ukimhitaji, unamtext, ni kama MWAKA Jana au JUZI NILIONA hiyo page fb ni mbongoAisee Uo mtindo nliona last year IG kwa madem wa europe kumbe ulishafika africa, bado wamatumbi wa bongo.
Nipo humu Jamiiforums kwa miaka 16 yawezekana wewe ni mdogo wangu, kuna mambo mengine kiuhalisia ni magumu hata kuyakemea hata kama utakemea utakuwa ni kupiga kelele tu. Hasa hata wewe huu uzi wako umekuwa kama story za kijiwe cha kahawa.NAOMBA nikujibu kaka, SIJUI MDOGO WANGU whatever, nimeleta hapa dhumuni haikuwa Uzi utembee, SIJAWAHI ona faida ya Uzi kutembea kama una vo AMINI WEWE, nimejifikiria TU nitapambanaje na huyu MTU ili HALI mi SINA UWEZO, na cha KUFANYA? WAZO likaja niwahusishe NYIE tupeane MAWAZO cha KUFANYA, HAPO KOSA lipo WAPI, kwani we HUNA WATOTO au NDUGU ZAKO watao jifunza HICHO wanacho KIONA?niwangapi wanamuiga diamond Hadi KUSUKA na kutoboa pua, vipi WATOTO WAKUMUIGA HUYO Binti?
Mimi mtoto akishafikisha 16yrs namnumulia smartphone yake, below that age waendelee kundandia za mama ya japo laptop na iPad wanatumia hata wadogo na hapo kikubwa ni guidance ya wazazi.Sasa hivi kukutana ni hizo content kwenye mitandao ya kijamii ni kawaida, hata Kama siyo mapenzi, hapo akili kichwani kwako tu.
Himiza madogo, ikiwezekana wasitumie simu, mpaka Muda sahihi utakapofika. 🌎 Imeharibika.
Duuuh umesemaje?Aha kumbe SIKU HIZI NYIE kupanua uchi ni ruksa, basi NISAMEHE sikujua
Unasemaje SISI HATUNA impact? Kwani swala la kumreport fb acc yake ifungwe IPO kwenye taifa husika MKUU?Nipo humu Jamiiforums kwa miaka 16 yawezekana wewe ni mdogo wangu, kuna mambo mengine kiuhalisia ni magumu hata kuyakemea hata kama utakemea utakuwa ni kupiga kelele tu. Hasa hata wewe huu uzi wako umekuwa kama story za kijiwe cha kahawa.
Kwanza huyo binti ni Mzambia /Mzimbabwe /Msouth hana impact yoyote kwa sisi watanzania. Kuleta mada ya kumjadili ni kama kupiga soga tu ile masaa yaende.
Ushawahi kupigia kelele video za Kina
Amber Rutty, Wema Sepetu, Shilole, Aunt Ezekiel, Rosa Lee ambao ni watanzania na nina influencers wa ndugu /Watoto /Vijana wetu wa Kitanzania?