Binti ashikwa na Madawa ya Kulevya JNIA;Polisi wa usalama waomba Rushwa wakataliwa...

Binti ashikwa na Madawa ya Kulevya JNIA;Polisi wa usalama waomba Rushwa wakataliwa...

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Nimeamini kweli Uwanja wa Ndege wa Airport Dar DANGURO LA Kupitishia madawa
ya Kulevya

BINTI MMOJA AMEKAMATWA NA MADAW AYA KULEVYA JIONI HII PALE UWANJA WA NDEGE WA AIRPORT
BINTI HUYO MANASHATI MZURI NA ANANUKIA PERFUME YA HALI YA JUU ALIPOKUWA KWENYE MSTARI
KAMA ABIRIA WENGINE ;KISA KIKAWA HIVI

DADA MMOJA WA USALAMA WA TAIFA AKAMFWATA STRAIGHT NA KUMUULIZA JINA LAKE ;ALIPOMTAJIA
DADA YULE AKIWA AMEVAA SKETI NYEUSI AKAMWAMBIA NAJUA UNA MZIGO WA UNGA SASA TWENDE
OFISINI TUKATIE CHETU YAISHE UENDE..DADA YULE BILA AIBU AKASEMA SINA AKAANZA KUWAKA SINA UNGA
IKAWA MGOGORO .. YULE DADA AKAMWAMBIA BILA AIBU UNAWAKA M NAKUCHOMA KWA MAPOLISI

GAFLA WALIPOJAA WATU DILI LIKAUNGUA AKAMCHUKUA NA KUMPELEKA KWA POLISI MUDA SI MREFU ATAANZA KUADHIBIWA NA UJI WA KUSHUSHA ZILE KETE ZETU ..YAONEKANA YUKO KWENYE MATAYARISHO

ANYWAY WATANZANIA TUJIULIZE HAKA KAMCHEZO CHA HUYU DADA NI WANGAPI WANAFANYA NA KWA STYLE HII MZIGO MINGAPI INAPITA KUPITIA WASHENZI KAMA HAWA??ALAFU TUNALAUMU SERIKALI JAMANI WAKATI WAUWAJI NI SISI WENYEWE???

MUDA SI MREFU MHUSIKA WA MZIGO AMEETHUBUTU KUMPIGIA MMMOJA WA WAUNGWANA WA KUBWA WA POLISI NA KUAMBIWA AISEE ISSUE IMESHAFIKA KWA AFANDE NZOWA AKUNA KINACHOFANYIKA ANYMORE..TOO LATE

SO SAD IMENIKUMBUSHA SIKU MOJA NIKIWA NASAFIRI NIKAFWATANA NA KKAKA MMOJA NA MAPOLISI WAWILI ALIPOPITISHA VYATU VYAKE IKAONEKANA KITU KAKA JASHO LINAMTOKA KAMA MWEHU AMEMWAGIWA MAJI YA MOTO MAPEPO YANAANZA KUTOKA ..WAKAANZA KUKIKAGUA KIATU KILE WAKAMUINGIZA CHUMBA KIMOJA WATU WA 5 KIDOGO ...BAADA YA MUDA POLISI WALIENDA NAE WAKALA NAE MPAKA TUNASAFIRI POLISI WALITUMIKA KAMA ESCORT AKAMFIKISHA MPAAKA MLANGONI PENGINE WALIOGOPA ATAONGEA NA WATU AKAARIBU ZAIDI

AFANDE NZOWA
NAJUA UNA DINI LAKINI IMANI YAKO KWA VIJANA WAKO NAOMBA ITOKE KABISA NA SASA IFIKE WAKATI WA KUJALI UBINADAMU WA WATANZANIA ..TAFADHALI TUNAOMBA ULETE VIJANA WENYE KUHESHIMU KAZI ZAO NA UBINADAMU TUACHANE NA HAWA WANAOTUMIA AIRPORT KAMA SEHEMU YA KUBADILISHA MAGARI YAO NAAMINI ROHO MTAKATA ATAKUONGOZA KWA HILI
 
Samahani kwa hili
nilichompena amekula hiab la nguvu na macho akawa ameziba kabisa nahisi nayo imechangia kuwaogopesha maskari wetu muvae majinsi basi jamani msikimbilie mavazi ya dini zetu mkaonesha wote tuko kwenye hako kabiashara chenu
 
Mungu tusaidie maana hii ni zaidi ya biashara ya utumwa kani nguvu kazi ya taifa inateketea kwa ajili ya unga. na Hili lipo sana tatizo sio kwa kamanda ila mfumo mbuvu ambao ni wa kulaumiwa
 
Samahani kwa hili
nilichompena amekula hiab la nguvu na macho akawa ameziba kabisa nahisi
nayo imechangia kuwaogopesha maskari wetu muvae majinsi basi jamani
msikimbilie mavazi ya dini zetu mkaonesha wote tuko kwenye hako
kabiashara chenu

Hata kama ishu imefika kwa huyo nzowa usijeshangaa akaachiwa. Pia, unafikili huyo nzowa hajui vijana wake wanachokifanya hapo?
 
Umeyachanganyachanganya mkuu Pdidy !
Can you believe the source?
 
Last edited by a moderator:
Maisha ni kuchagua sion ajabu watu kuuza unga mbona na niiii ndo bosi wao kabisa!!
 
Nchi hii imeoza. Najua nilichowahi kukiona. Ingawa sitashare nanyi hii story. Lakini mjue nchi ni uharo mtupu.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Huyo binti anaitwa nani? usikute ni wa familia ya dhaifu!!
 
Kama kisa hiki ni cha ukweli basi tuvae magunia na kulia. Huwa najiuliza mantiki ya rais kusema ana orodha ya wauza unga lakini hawakamti. Je kuna namna yeye au watu wake wanavyonufaika na biashara hii? Je rais wetu hapa hajawa tatizo?. Maana ashasema anayo orodha ya hawa waharifu sasa kwanini anaendelea kuitunza kama souvernir kama hana jinsi anavyoneemeka na janga hili?
 
"Uwanja wa ndege wa Airport" mkuu kipande hiki kimenifurahisha sana kimenikumbusha ile "Barabara ya Morogoro Road"
 
cha ajabu ninachoshangaa hii nchi,wanaweka ulinzi kwenye international airports tu,,,,kuna airstrips kibao sikuizi.....vitu vinaingia na kutoka na hakuna hata mgambo.......hivi vi-Cesna navyo vinabeba mizigo haswaaa!!!
 
"Uwanja wa ndege wa Airport" mkuu kipande hiki kimenifurahisha sana kimenikumbusha ile "Barabara ya Morogoro Road"

Kwenye uwanja ndege w airport sina comment ila kwenye barabara ya morogoro road huwa napata tabu kujua either ni right au sio right
Kama navyopata tabu kwenye
Kusema
Television ya star tv
 
huyo binti anaitwa nani? Usikute ni wa familia ya dhaifu!!
mr able
kinachoonekana aijalishi ametoka familia gani..kwa uhalisia wa jinsi alivyoulizwa na alivyoamuliwa sasa tunakuwasha moto ni kwamba aijalishi umetoka familia gani bali channel yako na security yako hasa kwa aliekutuma amejiandaje kuwawezesha wanahisa wa hapo uwanjani kwenu ..hili ndilo tatizo
na kwa kuwa amemfwata straight kumuuliza jina na kutaka kufanya maelewano means wale waliojiandaa na kuweka ulinzi imara basi si haba wakapewa escort mpaka mlango wa ndege wafike salama...bado nasema swala la madawa sio serikali pekee tuache kuilalamikia serikali tu .
 
Nimeamini kweli Uwanja wa Ndege wa Airport Dar DANGURO LA Kupitishia madawa
ya Kulevya

BINTI MMOJA AMEKAMATWA NA MADAW AYA KULEVYA JIONI HII PALE UWANJA WA NDEGE WA AIRPORT BINTI HUYO MANASHATI MZURI NA ANANUKIA PERFUME YA HALI YA JUU ALIPOKUWA KWENYE MSTARI KAMA ABIRIA WENGINE ;KISA KIKAWA HIVI

asante sana
 
si kila anayeambia unayo au kunywa uji huwa mwisho wa siku anakutwa na hayo madawa

kuna kitabia pale kimeshawakumba watu wawili au watatu kubambikiwa hivyo na bila kucheki kwa x-ray au any other means mtu anakua retained for hours halafu badae anaachiwa na kuombwa msamaha tu

utasikia badae
 
haaaa! Kaka mbona meng yanapita hapo airport, tena makubwa zaidi ya hilo jambo tena kwa maelekezo ya wakubwa. Hvy ht huyo ni geresha tu kwn inawezekana wameshndwa kufikia muafaka ndo maana wamejifanya kumuumbua. Hatuna police wala usalama bali tuna vilaza.
 
Back
Top Bottom