kamtu33
JF-Expert Member
- Mar 15, 2012
- 998
- 409
Nimeamini kweli Uwanja wa Ndege wa Airport Dar DANGURO LA Kupitishia madawa
ya Kulevya
Kwenye nyekundu
Ngoja waje wenye lugha yao watupe yaliyo moyoni
Ulimi umemteleza wakuu msameheni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimeamini kweli Uwanja wa Ndege wa Airport Dar DANGURO LA Kupitishia madawa
ya Kulevya
Kwenye nyekundu
Ngoja waje wenye lugha yao watupe yaliyo moyoni
Ulimi umemteleza wakuu msameheni
haaaa! Kaka mbona meng yanapita hapo airport, tena makubwa zaidi ya hilo jambo tena kwa maelekezo ya wakubwa. Hvy ht huyo ni geresha tu kwn inawezekana wameshndwa kufikia muafaka ndo maana wamejifanya kumuumbua. Hatuna police wala usalama bali tuna vilaza.
Nani wa kimfunga paka kengele,???Irizi moja ndani ya deal,unategemea nini??!Kama kisa hiki ni cha ukweli basi tuvae magunia na kulia. Huwa najiuliza mantiki ya rais kusema ana orodha ya wauza unga lakini hawakamti. Je kuna namna yeye au watu wake wanavyonufaika na biashara hii? Je rais wetu hapa hajawa tatizo?. Maana ashasema anayo orodha ya hawa waharifu sasa kwanini anaendelea kuitunza kama souvernir kama hana anavyoneemeka na janga hili?
Nilipofika hapo tu, sentensi ya kwanza, "uwanja wa ndege wa AIRPORT, nikajiambia okay, unasoma kitu cha mtu ambae hajaenda shule... nikasema ngoja nivumilie, nitafute bigger context...PALE UWANJA WA NDEGE WA AIRPORT
Nilipofika hapo tena pa "akamfuata akamwambia straight ninajua una mzigo wa unga," nikasema no wonder! Ndo wale wale, wapashaji hapari wetu wa kibongo! Wewe ulikuwa wapi mpaka ukasikia anamwambia winji winji namna hiyo twende ukanipe rushwa? Uongo mkubwa! Lowassa:Mfumo wa elimu ufumuliwe.DADA MMOJA WA USALAMA WA TAIFA AKAMFWATA STRAIGHT ... AKAMWAMBIA NAJUA UNA MZIGO WA UNGA SASA
"Uwanja wa ndege wa Airport" mkuu kipande hiki kimenifurahisha sana kimenikumbusha ile "Barabara ya Morogoro Road"
Nilipofika hapo tu, sentensi ya kwanza, "uwanja wa ndege wa AIRPORT, nikajiambia okay, unasoma kitu cha mtu ambae hajaenda shule... nikasema ngoja nivumilie, nitafute bigger context...
Nilipofika hapo tena pa "akamfuata akamwambia straight ninajua una mzigo wa unga," nikasema no wonder! Ndo wale wale, wapashaji hapari wetu wa kibongo! Wewe ulikuwa wapi mpaka ukasikia anamwambia winji winji namna hiyo twende ukanipe rushwa? Uongo mkubwa! Lowassa:Mfumo wa elimu ufumuliwe.
BINTI MMOJA AMEKAMATWA NA MADAW AYA KULEVYA JIONI HII PALE UWANJA WA NDEGE WA AIRPORT BINTI HUYO MANASHATI MZURI NA ANANUKIA PERFUME YA HALI YA JUU ALIPOKUWA KWENYE MSTARI
KAMA ABIRIA WENGINE ;KISA KIKAWA HIVI
DADA MMOJA WA USALAMA WA TAIFA AKAMFWATA STRAIGHT NA KUMUULIZA JINA LAKE ;ALIPOMTAJIA
DADA YULE AKIWA AMEVAA SKETI NYEUSI AKAMWAMBIA NAJUA UNA MZIGO WA UNGA SASA TWENDE
OFISINI TUKATIE CHETU YAISHE UENDE..DADA YULE BILA AIBU AKASEMA SINA AKAANZA KUWAKA SINA UNGA
IKAWA MGOGORO .. YULE DADA AKAMWAMBIA BILA AIBU UNAWAKA M NAKUCHOMA KWA MAPOLISI
GAFLA WALIPOJAA WATU DILI LIKAUNGUA AKAMCHUKUA NA KUMPELEKA KWA POLISI MUDA SI MREFU ATAANZA KUADHIBIWA NA UJI WA KUSHUSHA ZILE KETE ZETU ..YAONEKANA YUKO KWENYE MATAYARISHO
ANYWAY WATANZANIA TUJIULIZE HAKA KAMCHEZO CHA HUYU DADA NI WANGAPI WANAFANYA NA KWA STYLE HII MZIGO MINGAPI INAPITA KUPITIA WASHENZI KAMA HAWA??ALAFU TUNALAUMU SERIKALI JAMANI WAKATI WAUWAJI NI SISI WENYEWE???
MUDA SI MREFU MHUSIKA WA MZIGO AMEETHUBUTU KUMPIGIA MMMOJA WA WAUNGWANA WA KUBWA WA POLISI NA KUAMBIWA AISEE ISSUE IMESHAFIKA KWA AFANDE NZOWA AKUNA KINACHOFANYIKA ANYMORE..TOO LATE
SO SAD IMENIKUMBUSHA SIKU MOJA NIKIWA NASAFIRI NIKAFWATANA NA KKAKA MMOJA NA MAPOLISI WAWILI ALIPOPITISHA VYATU VYAKE IKAONEKANA KITU KAKA JASHO LINAMTOKA KAMA MWEHU AMEMWAGIWA MAJI YA MOTO MAPEPO YANAANZA KUTOKA ..WAKAANZA KUKIKAGUA KIATU KILE WAKAMUINGIZA CHUMBA KIMOJA WATU WA 5 KIDOGO ...BAADA YA MUDA POLISI WALIENDA NAE WAKALA NAE MPAKA TUNASAFIRI POLISI WALITUMIKA KAMA ESCORT AKAMFIKISHA MPAAKA MLANGONI PENGINE WALIOGOPA ATAONGEA NA WATU AKAARIBU ZAIDI
Loh wana haya wale mkuu haya iko chini ...tu