Binti ashikwa na Madawa ya Kulevya JNIA;Polisi wa usalama waomba Rushwa wakataliwa...

Issue sio kwamba ni vilaza ila wametanguliza maslahi yao mbele kuliko taifa, na hii inatokana na serikali kufumbia macho tuhuma nyingi dhidi ya vigogo, hivyo nao wanaona wacha wachukue chao mapema.
 
Nani wa kimfunga paka kengele,???Irizi moja ndani ya deal,unategemea nini??!
 
PALE UWANJA WA NDEGE WA AIRPORT
Nilipofika hapo tu, sentensi ya kwanza, "uwanja wa ndege wa AIRPORT, nikajiambia okay, unasoma kitu cha mtu ambae hajaenda shule... nikasema ngoja nivumilie, nitafute bigger context...


DADA MMOJA WA USALAMA WA TAIFA AKAMFWATA STRAIGHT ... AKAMWAMBIA NAJUA UNA MZIGO WA UNGA SASA
Nilipofika hapo tena pa "akamfuata akamwambia straight ninajua una mzigo wa unga," nikasema no wonder! Ndo wale wale, wapashaji hapari wetu wa kibongo! Wewe ulikuwa wapi mpaka ukasikia anamwambia winji winji namna hiyo twende ukanipe rushwa? Uongo mkubwa! Lowassa:Mfumo wa elimu ufumuliwe.
 
"Uwanja wa ndege wa Airport" mkuu kipande hiki kimenifurahisha sana kimenikumbusha ile "Barabara ya Morogoro Road"

Tukutane pale Ubalozi wa Embassy niupe vipande kama hivyo mpaka uone raha
 


hahaha mkuu huyu ndio P DIDY syle yake ni kipekee humu JF labda kama wewe mgeni hutomuelewa
 
Tatizo hata wakitimiza majukumu yao vizuri kwa kuwakamata wakubwa wanakula juu kwa juu na kuwaacha watuhumiwa wakiwa huru!ndo maana vijana wanaamua kujichukulia chao mapema
 
kama wangekuwa na dhamira ya kweli kumaliza tatizo wangemfuata Kiuno bila mfupa akawaeleza alikuwa anayapata wapi.
 

Bado wanaweza kufanya hivyo pale hadharani?
 
Loh wana haya wale mkuu haya iko chini ...tu
 
hahaha mkuu huyu ndio P DIDY syle yake ni kipekee humu JF labda kama wewe mgeni hutomuelewa
MGENI HUYU VIPER TUMSAIDIE TU USHAAMBIWA WAKINA

Anheuser
ANSUNAR
AN......
ELSE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…