Binti.com ndani ya nyumba

Power G

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2011
Posts
3,884
Reaction score
1,198
Hodi mpaka ndani wadau wote wa JF. Mimi ni binti mrembo mwenye umri wa miaka 24 ambaye nimeamua kujiunga na mtandao huu wa JF. Naomba nitoe tahadhari mapema kwamba sikuja kutafuta mchumba kwani ninaye wangu. Iwapo itatokea akanimwaga, nitaweka mambo hadharani.
 

Karibu JF. Hapa sio FB.
 
karibu asilimia kubwa tuna wake zetu na watoto wakubwa saize yako. karibu sana na jiskie huru.
 
Kha...! Babu Asprin umemuona huyu mjukuu.
 
Last edited by a moderator:

Aliyekwambia watu wanatafuta wachumba ni nani??

Hapa ukileta urembo wako unakaguliwa kama kawa na maisha yanaendelea.
 
Karibu sana.
Ahsante, heri wewe umenikaribisha kwa moyo mmoja. Wengine wananikaribisha viroho vinawadunda maana nimeshawawekea kizingiti kwa kuwaambia ninaye wangu.
 
Ahsante, heri wewe umenikaribisha kwa moyo mmoja. Wengine wananikaribisha viroho vinawadunda maana nimeshawawekea kizingiti kwa kuwaambia ninaye wangu.
Hahahaah!! Mgeni mwenye unakuja kwa mkwara namna hiyo. Karibu sana unatumia kinywaji gani nikuletee...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…