Binti.com ndani ya nyumba

Binti.com ndani ya nyumba

Haya Binti.com karibu sana jf,kama Katavi mkuu wangu alivyokwisha kutangulia kusema unatumia kinywaji gani?ucogope jf kuna vinywaji kemkem,we sema tu.
 
Last edited by a moderator:

glass.jpg
Karibu sana maziwa Binti.com.....
 
Last edited by a moderator:
Siku hizi hadi watoto wanajua kunyonya na kunyonywa japo wao hawatoi maziwa mazito.....!!
Dhambi ni pale wanaponyonywa na wakubwa!! Lakini iwapo ni wenyewe kwa wenyewe, si mbaya maana ni mazoezi ya kutafuta ujuzi kwa matumizi ya baadaye.
 
Back
Top Bottom