Binti kakutana na kauzu✔

Binti kakutana na kauzu✔

Bishop Hiluka

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2011
Posts
7,147
Reaction score
14,699
Jamaa kakubaliana vizuri na msichana kuwa aibuke gheto, kajipanga vizuri kabisa kumkabili yule mrembo… mara saa nne hivi mdada kasema hana nauli.
jamaa akajikunja akatuma elfu tano maana mwenye shida alikuwa ni yeye…
Baada ya nusu saa yule mrembo akamtumia meseji, "Jamani mpenzi, kumbe baba hatoki nilijua atatoka… sorry bae, sitaweza kuja kwa leo… sooo sorry!"
Jamaa jiii! Hakujibu meseji.

Baada ya muda kidogo meseji ikaingia katika simu ya yule mrmbo, akajua labda jamaa kajibu. Duh, kutazama ni meseji kutoka M-Pesa; "CA90F0511 imethibitishwa Sh 5,000.00 iliyotumwa kimakosa katika account yako imetolewa, salio lako jipya ni Sh 5.00"

Muda huohuo ikaingia meseji ya jamaa; "Basi poa, siku nyingine kama vipi…
 
Huyo kweli kauzu.
Nampa heko.
 
Ivi ili swala linawezekana?? Nataka nije nilifanzie siku moja,
 
Back
Top Bottom