wiseboy
JF-Expert Member
- Mar 22, 2011
- 2,930
- 3,305
nawasalim wote wa umri wangu, juu yangu na chini yangu. Jamani lisemwalo lipo na kama halipo wewe lingoje ck moja litakutokea. Wekend hii nikitokea mikoani kuja Dar tulikaa siti moja na dada wa alijitambulisha kama dent wa mwaka wa 3 chuo mojawapo hapa Dar. Huyu sister ni muongeaji kimtindo japo ana positive idear. Tukiwa katika stori za hapa na pale aliniambia anategemea kuanza maisha yake baada ya kuhitimu mwaka huu hvyo anahitaji kuwa na mchumba toka chuoni kwetu eti kwa kigezo kwamba chuo chetu kina msuli mzito kuliko vyuo vyote hapa nchini, kwa mantiki hyo anadai wavulana wa chuoni kwetu wako simple na wako bize na masomo hvyo anahisi sio wadanganyifu kama vyuo vingine. Tulipofika mwisho wa safari tulipeana namba za cm, baada ya hapo ameanza kunitumia akiniita mme mtarajiwa, honey na nk na hata sijamtongoza wala kumuonyesha dalili. JE HUYU DADA ANA NIA IPI KWANGU MAANA KANIWEKA NJIA PANDA. Nifanyeje coz sijajb sms zake bt bdo anatuma zingine.