Kaka Mpendwa
JF-Expert Member
- Jan 10, 2008
- 772
- 415
Mwenzetu ana bahati ya kupendwa.
jamaa atakuwa handsome sana...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwenzetu ana bahati ya kupendwa.
Bahati au kujichanganya na kujitakia matatizo kila kukicha.....................
Kwanza asante sana DA kwa kutukumbusha hili.Achana na huyo dada na ulimpa simu ya nini wakati tayari una mchanganyiko huo hapo tulia kijana sawa..............
kwake yeye anaona ujiko, ndio maana katuambia eti alikuwa mpaka anampiga huyo demu wake lakini demu hamuachi, pia napata mashaka na mtu anayejisifia kumpiga mwanamke, katuambia kwamba alipochoka kutoa adhabu ikabidi aendelee tu kuzuga na huyo demu wake.
Kwanza asante sana DA kwa kutukumbusha hili.
Pili, kwako WB, kama umeamua kuwa mwongo, basi angalau uweke kumbukumbu ya kile ulichokisema kabla kisipingane na cha sasa. Nakumbuka kwenye post yako ya kwanza binafsi nilikulaumu kwa kumpiga huyo binti na kukushutumu kuwa inawezekana "hata huijui ilivyokaa bali hizo ni fantasy zako tu".
Tukiangalia posts zako mbili, iwe za kweli iwe za kutunga, wasomaji anatupa wasiwasi.
ANY WAY, wewe unajua zaidi unachokikisema. We're waiting for your next nice story.
Na kubaliana na wewe Dena Amsi,hii si bahati ni kuyafuata matatizo.......mwisho wake si mzuri.Bahati au kujichanganya na kujitakia matatizo kila kukicha.....................
Asante kwa kuliona hilo..
Wakati mwingine inakuwa ngumu kujua huyu mtu visa hivi anatunga, au ni vya kweli.. maana hii ni ishara tosha kwamba hauko-committed kwa huyu uliye naye sasa,mpaka unagawa namba kwa mtu mwingine.
Its no Wonder!
Si anakupenda?...Wanawake pia wanaweza!
Ondoa mentality kuwa mwanaume ndo analianzisha kila mara ...JIVUE GAMBA!
Unajua kuna watu wanaleta visa vinakugusa sasa akija na na kisa kingine lazima urudi uperuzi nini anasema nakumbuka huyu alijigamba kumpigia mwanamke ndo maana nikamkumbuka............................................
Kashaona kijiwe cha moto katimkia kwa mbali WB rudi usome maoni ya wadau.................................na ujifunze
Achana na huyo dada na ulimpa simu ya nini wakati tayari una mchanganyiko huo hapo tulia kijana sawa..............
nawasalim wote wa umri wangu, juu yangu na chini yangu. Jamani lisemwalo lipo na kama halipo wewe lingoje ck moja litakutokea. Wekend hii nikitokea mikoani kuja Dar tulikaa siti moja na dada wa alijitambulisha kama dent wa mwaka wa 3 chuo mojawapo hapa Dar. Huyu sister ni muongeaji kimtindo japo ana positive idear. Tukiwa katika stori za hapa na pale aliniambia anategemea kuanza maisha yake baada ya kuhitimu mwaka huu hvyo anahitaji kuwa na mchumba toka chuoni kwetu eti kwa kigezo kwamba chuo chetu kina msuli mzito kuliko vyuo vyote hapa nchini, kwa mantiki hyo anadai wavulana wa chuoni kwetu wako simple na wako bize na masomo hvyo anahisi sio wadanganyifu kama vyuo vingine. Tulipofika mwisho wa safari tulipeana namba za cm, baada ya hapo ameanza kunitumia akiniita mme mtarajiwa, honey na nk na hata sijamtongoza wala kumuonyesha dalili. JE HUYU DADA ANA NIA IPI KWANGU MAANA KANIWEKA NJIA PANDA. Nifanyeje coz sijajb sms zake bt bdo anatuma zingine.
Ndugu yangu Fidel80,HAUTAMUEZA HUYU BINTI ANAVIGEZO VYAKE BANA.....ahahahahaNiachie mimi huyo binti
Mtafune halafu unammwaga...
Achana na huyo dada na ulimpa simu ya nini wakati tayari una mchanganyiko huo hapo tulia kijana sawa..............
nawasalim wote wa umri wangu, juu yangu na chini yangu. Jamani lisemwalo lipo na kama halipo wewe lingoje ck moja litakutokea. Wekend hii nikitokea mikoani kuja Dar tulikaa siti moja na dada wa alijitambulisha kama dent wa mwaka wa 3 chuo mojawapo hapa Dar. Huyu sister ni muongeaji kimtindo japo ana positive idear. Tukiwa katika stori za hapa na pale aliniambia anategemea kuanza maisha yake baada ya kuhitimu mwaka huu hvyo anahitaji kuwa na mchumba toka chuoni kwetu eti kwa kigezo kwamba chuo chetu kina msuli mzito kuliko vyuo vyote hapa nchini, kwa mantiki hyo anadai wavulana wa chuoni kwetu wako simple na wako bize na masomo hvyo anahisi sio wadanganyifu kama vyuo vingine. Tulipofika mwisho wa safari tulipeana namba za cm, baada ya hapo ameanza kunitumia akiniita mme mtarajiwa, honey na nk na hata sijamtongoza wala kumuonyesha dalili. JE HUYU DADA ANA NIA IPI KWANGU MAANA KANIWEKA NJIA PANDA. Nifanyeje coz sijajb sms zake bt bdo anatuma zingine.
yeye ndiye aliyeyasema hayo mawazo co mm. Ila chuo nilichopo ni chu6 ambacho hakitoi degree za art ni full science, nadhani ulishakijua.