Binti kanizidi kiiiila kitu

Kabla ya kuingia kwenye suala la ndoa, ni vyema mkawa kama marafiki kwa miezu sita ili mfahamiane vizuri. Marriage is not a rehearsal!
 
si nimetoka kukusoma unatafuta galfrend jaman
 
mkuu maswali gani sasa haya na wewe bwana,kwanza hongera kwa kupata mpenzi akupendaye na kukujali.
Hapo ingekua mim ni posa,mahari na kumtuliza mrembo ndani jumla jumla.Mkuu ukishikwa shikamana,hakuna tatizo hapo mradi umesema anakupenda hadi anaonesha kwa vitendo im happy for you.Au labda kama humpendi tuambie tumuombee huyo dada apate wakumpende kama anavyokupenda wewe.Mim sina la zaidi,sion tatizo namalizia kwa kusema shika sana ulicho nacho asije mwivi................(malizia).
 
All the best kwa maamuzi utakayoyafanya,either way you will suffer.
 
Mi nafikiri kabla ya kuandika hapa majibu ulikuwa nayo kichwani ya swali lako! Ha2mjui huyo m2 na we r not angels hivyo 2takuwa 2nafanya gues work. Follow ur heart!
 
mhh lakin juzi kama ulileta uZI APA UNATAFUTA MWAMBATA...ndo uyo ushampata?
 

kwa mawazo yangu mimi huyo binti kama ni mcha mungu haina shida ila kama ni wakidunia andika maumivu kwani hautakaa uje kuwa kichwa cha nyumba utakuwa mke wewe..na usijadanganye kama unamfikisha basi mtakaa wanawake wanahitaji more than that....
 
mwanamke akishakuzidi hata urefu tu, jeuri lazima awe nayo..ndio maana Mungu huwaga hawapi nafasi sana katika maendeleo na madaraka, maana roho zenu..haziishi kujikweza mkifanikiwa..nlishawahi kumdate demu flani..yeye alikuwa kaajiriwa na anajiweza enzi hizo bado denti niko chuo mwaka wa tatu..kiti kidogo tu utaskia ...gari yangu bwana sijui wataiiba hapo nje..kila kitu gari yangu..mpaka nikaboreka..then..noma inakuja pale kwakua kakuzidi tu..mikwara kila saa..mara leta simu yako hapa ..nani kakupigia..unasachiwa mifukoni.. ili mradi mateso tu..nikasalimu amri..ila miezi ya mwanzoni..ilikuwa raha tu.. oo bebi ..nioe..bebii..umekulaa..ilipofika mwaka sasa..kero zikaanza..ukishaona demu mwenye umri mkubwa na anakila kitu..lakini hana mume au hata BF , ujue kuwa ana mapungufu ambayo hayavumiliki.. unless uwe umejitoa kuyabeba hayo mapungufu..
 
Jiandae 1. Unyumba utakuwa unapimiwa kama mbolea ya ruzuku 2. Hatakubali kuajiri mfanyakazi wa ndani wewe utafanya hizo kazi 3. Yeye atakuwa msemaji wa mwisho ndani ya nyumba. 4. Ukitaka kuishi nayeye kwa amani jifunze kusema YES" OK" MADDAME
 
na siku zote amekua akisema kua,,aliumizwa sana na hao walokua levo yake hivo kalizika zaidi na mimi coz nampa kile wengine walishindwa yani kumjari na kumwonesha mapenzi ya kweli

I have gone through all your replies to comments made by other members. You have tried to defend your relationship with her. I have seen many couples with similar characteristics and they have never lived together for long period. The girl may be loving you with all her mind and heart but the pressure from friends and relatives based on her education level as compared to yours may in one way bring conflicts. Three month in relationship is not a long time to define the future and I presume that non of her relative knows you and probably only few close friends of her knows you, as times goes you will see the true colour of her when statement like "HOW CAN YOU LIVE WITH A MAN WHO HAVE ONLY A DIPLOMA WITH NO JOB AND HE DEPENDS ON YOU FOR EVERYTHING EXCEPT SEX BECAUSE YOU DO NOT HAVE A PENIS" from her friends and relatives start rotating in her mind like a night dreams, is when you will realize what members are trying to advice you. From her close siblings you will hear this kind of statements "we sent you to school and expect that you will marry a man of high class with high education level and what kind of a man you have brought to us". Live with her and open your brain, let her look for the job opportunity for you, get job, try for your level best to go back to school and attain the same level of education she has if possible or just have a bachelor. This will be a great security for you to continue to be in this relationship happily.
I can tell you, one friend of mine married his wife after she completed her PhD studies in UK, this friend of mine had only a Advanced diploma in Laboratory sciences. His marriage have been in seriously problem despite of having 2 children now. The wife feels that she made a serious mistake to marry a man of low quality in term of education level and she feels so bad after almost 10 years in marriage and she wants to leave. Learn from this
Nawakilisha
 
Hakikisha KITANDANI una mtafuna vilivyo hata kusahau akiwa kazini kutokana na mshedede wako.
 

Kwani mwanaume anapomzidi mwanamke kwa kila kitu kunakuwa na tatizo? Maana maona matatizo yakuwepo kwa situation zote!
 
vipi, kitandani yupo fit? yaani anajua mapenzi ya kitandani?
 
sijawai ona akinifanyia au kunijibu lolote kwa kuhusisha anachonizd mkuu

Bado mtoto hujakuwa , hivyo hujui maisha, siku takapoyajua hutaema haya. Ukweli ni kwamba mwanamke akikuchukia chuki yake huzidi upendo aliokupenda kwanza
 
aisee ni fantasy kubwa sana kutoka na mwanamke aliyekuzidi kama miaka 10-15 yaani mhh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…