Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu dada mbali na kua na sifa zote za urembo nizitakazo mimi ingawa ni mrefu zaidi yangu bt ananikubari,,,,,yeye ni msomi kuliko mimi tena kaniacha mbali tu,anakazi yake nzuri tu
,i mean tayari anajitegemea na mimi ndio kwanza nimemaliza kaelimu kangu furani ngazi ya diploma hivo bado sina kazi lakini sasa ananifanyia mpango wa kazi yeye mwenyewe..kiukweli kabisa binti ananipenda hasa c kwa maneno ni kwa vitendo zaidi,,sasa hofu yangu ni:kanizidi kila kitu,elimu,uwezo,umri pia kaniacha mwaka mmoja.swali kwa wazoefu na hizi mambo je hakuna tatizo mbeleni kwa uhusiano huu hata nikimwoa?
na siku zote amekua akisema kua,,aliumizwa sana na hao walokua levo yake hivo kalizika zaidi na mimi coz nampa kile wengine walishindwa yani kumjari na kumwonesha mapenzi ya kweli
Huyu dada mbali na kua na sifa zote za urembo nizitakazo mimi ingawa ni mrefu zaidi yangu bt ananikubari,,,,,yeye ni msomi kuliko mimi tena kaniacha mbali tu,anakazi yake nzuri tu
,i mean tayari anajitegemea na mimi ndio kwanza nimemaliza kaelimu kangu furani ngazi ya diploma hivo bado sina kazi lakini sasa ananifanyia mpango wa kazi yeye mwenyewe..kiukweli kabisa binti ananipenda hasa c kwa maneno ni kwa vitendo zaidi,,sasa hofu yangu ni:kanizidi kila kitu,elimu,uwezo,umri pia kaniacha mwaka mmoja.swali kwa wazoefu na hizi mambo je hakuna tatizo mbeleni kwa uhusiano huu hata nikimwoa?
si nimetoka kukusoma unatafuta galfrend jaman
sijawai ona akinifanyia au kunijibu lolote kwa kuhusisha anachonizd mkuu
mhh lakin juzi kama ulileta uZI APA UNATAFUTA MWAMBATA...ndo uyo ushampata?