Binti kanizidi kiiiila kitu

Binti kanizidi kiiiila kitu

Al_morinaga

Member
Joined
Mar 17, 2012
Posts
38
Reaction score
2
Huyu dada mbali na kua na sifa zote za urembo nizitakazo mimi ingawa ni mrefu zaidi yangu bt ananikubari,,,,,yeye ni msomi kuliko mimi tena kaniacha mbali tu,anakazi yake nzuri tu
,i mean tayari anajitegemea na mimi ndio kwanza nimemaliza kaelimu kangu furani ngazi ya diploma hivo bado sina kazi lakini sasa ananifanyia mpango wa kazi yeye mwenyewe..kiukweli kabisa binti ananipenda hasa c kwa maneno ni kwa vitendo zaidi,,sasa hofu yangu ni:kanizidi kila kitu,elimu,uwezo,umri pia kaniacha mwaka mmoja.swali kwa wazoefu na hizi mambo je hakuna tatizo mbeleni kwa uhusiano huu hata nikimwoa?
 
Muache ujue ugumu wa maisha, utazunguka na vyeti kila kona! ata kule kwngne kazidi?

jamani c wanasemaga binti akikuzidi hizo mambo utegemee matatizo mbeleni,,,ila kwa huko chini namzidi sana tu
 
Wengi watakujibu hakuna tatizo(kweli kwa juujuu hakuna tatizo- Na tena pia mkiwa a lot good psychologically hakuna tatizo pia). Ila katika mabonde na milima ya maisha, those differences will be paying u guys a visit every now and then. Swali ni kwamba una uwezo wa kuvumilia pale mwenzio anapofanya kitu na ukawa na hisia 99.9999% kwamba kafanya hivyo kwa sababu ya kitu fulani alichokuzidi? what if kaingia majaribuni na kaexercise hiyo power kikweli? will u be able to still hold on to marriage? Chunguza ur inner working, una tolerance kiasi gani mkeo akifanya dharau kisa kakuzidi kitu? kwa sababu let me tell u-ukichukulia upendo kama hisia kuna muda hautokuwepo kabisa(its the ups and downs)...Tafakari chukua hatua,...
 
Huo ni Mwanzo! Subiri mchokane ndo Utajua kweli anakupenda au La.

usiombe Mwanamke akuzidi kila Kitu.

Atakuwa Huru kwa kila kitu hata ukimwonya kwa Jambo zuri hatakusikiliza maana Hela ni zake... Atafanya anavyotaka. Hakuna jambo ambalo atazungumza bila kuhusisha hela zake.

Siku ukimudhi ataongea mpaka Basi, atakuvua nguo zote na Utaaibika bure. Heri mwanaume hasira huwa anamalizia BAR
 
Wengi watakujibu hakuna tatizo(kweli kwa juujuu hakuna tatizo- Na tena pia mkiwa a lot good psychologically hakuna tatizo pia). Ila katika mabonde na milima ya maisha, those differences will be paying u guys a visit every now and then. Swali ni kwamba una uwezo wa kuvumilia pale mwenzio anapofanya kitu na ukawa na hisia 99.9999% kwamba kafanya hivyo kwa sababu ya kitu fulani alichokuzidi? what if kaingia majaribuni na kaexercise hiyo power kikweli? will u be able to still hold on to marriage? Chunguza ur inner working, una tolerance kiasi gani mkeo akifanya dharau kisa kakuzidi kitu? kwa sababu let me tell u-ukichukulia upendo kama hisia kuna muda hautokuwepo kabisa(its the ups and downs)...Tafakari chukua hatua,...
sijawai ona akinifanyia au kunijibu lolote kwa kuhusisha anachonizd mkuu
 
tuna miezi 3 mkuu,,hatujafkia tu mda wa kuchokana/na kwani katika mahusiano lazima kuna kuchokana?

Nilijua hujamzoea ndo Maana umeleta Mada hii..

Kumbuka hawa wanawake wanapoenda kusoma mama zao huwaambia.
"Soma mwanangu ili mwanaume asikuangaishe"

Kwahiyo wanapachikwa chuki na Dharau kwa mwanaume atakaempata .

Kwahiyo Subiri kwa Mda wa Miaka kadhaa ndo Utaona kama anakupenda Ama La.

Kama atakupenda zaidi. Basi atakuwa 1 in 1000,000
 
na siku zote amekua akisema kua,,aliumizwa sana na hao walokua levo yake hivo kalizika zaidi na mimi coz nampa kile wengine walishindwa yani kumjari na kumwonesha mapenzi ya kweli
 
Huwezi kumjua Mtu yeyote Yule kwa Mda mfupi.

Je! Hujui ndoa huwa Tamu mwanzoni. Lakini ikizoeleka ndo Mada kila siku hububujika Humu ndani Maana Makucha ya Wanandoa yameanza kukua.
 
lakini ndani ya hiyo miaka kadhaa ntakua nshamwoa,,c unajua chelewa chelewa
 
Huwezi kumjua Mtu yeyote Yule kwa Mda mfupi.

Je! Hujui ndoa huwa Tamu mwanzoni. Lakini ikizoeleka ndo Mada kila siku hububujika Humu ndani Maana Makucha ya Wanandoa yameanza kukua.
nikifata kanuni hiz manake sitaoa sasa haka kama c yeye
 
na siku zote amekua akisema kua,,aliumizwa sana na hao walokua levo yake hivo kalizika zaidi na mimi coz nampa kile wengine walishindwa yani kumjari na kumwonesha mapenzi ya kweli

Okay mkuu ila Ushauri Wangu ni Kuwa! Subiri kwa Mda mrefu mzoeane kwanza..

Pia inaweza kugeuka kwako, mwanamke akawa anakujali na Kukupenda. Halafu wewe ndo ukawa unatumia Pesa zake Ovyo na Kumtesa, KUMBUKA HILI PIA.
 
nikifata kanuni hiz manake sitaoa sasa haka kama c yeye

Kwanini Usioe! Kwani kumwambia Mtu asubiri kuchunguza Tabia za Mtu kuna kikwazo cha kutooa hapo?

Au unapenda vya Leo kesho harusi.

Huwa tunasema: CHOOSE YOUR PARTNER VERY CAREFULL
 
Huyu dada mbali na kua na sifa zote za urembo nizitakazo mimi ingawa ni mrefu zaidi yangu bt ananikubari,,,,,yeye ni msomi kuliko mimi tena kaniacha mbali tu,anakazi yake nzuri tu
,i mean tayari anajitegemea na mimi ndio kwanza nimemaliza kaelimu kangu furani ngazi ya diploma hivo bado sina kazi lakini sasa ananifanyia mpango wa kazi yeye mwenyewe..kiukweli kabisa binti ananipenda hasa c kwa maneno ni kwa vitendo zaidi,,sasa hofu yangu ni:kanizidi kila kitu,elimu,uwezo,umri pia kaniacha mwaka mmoja.swali kwa wazoefu na hizi mambo je hakuna tatizo mbeleni kwa uhusiano huu hata nikimwoa?

Ndoto zako nzuri kweli,hivi mabinti kama hao bado wapo? Kuna mwenzako alikuja na uzi kama huu sema yeye demu ni wa uganda! Keep on dreaming guy.
 
na siku zote amekua akisema kua,,aliumizwa sana na hao walokua levo yake hivo kalizika zaidi na mimi coz nampa kile wengine walishindwa yani kumjari na kumwonesha mapenzi ya kweli

Wanaume nyie hiyo dhana yenu ya kutaka kutawala kila nyanja itawakosesha mapenzi!!
 
tuna miezi 3 mkuu,,hatujafkia tu mda wa kuchokana/na kwani katika mahusiano lazima kuna kuchokana?

Kaka asikudanganye mtu! cyo kwamba akikufanyia hivyo hakupendi- yani mda mkishazoeana anaweza tu akafanya(trust me on this). Jifunze basi kwa hizo ndoa zinazovunjika kila kukicha...au zingine watu wanaishi tu pamoja ila mioyo yao si pamoja tena.
 
My God! Uko sayari ya ngapi? Akikuchoka na anajeuri ya fedha unaweza kuomba utangulie mbele za Mungu. Jitahid usimame mwenyewe bila kumtegemea, hapo mtadumu.
 
Back
Top Bottom