Binti katuchanganya mimi na kaka yangu

Binti katuchanganya mimi na kaka yangu

Haya majanga sasa.

Ni yuleyule binti tuliyekua tukiishi nae mtaani hapa na baadae akapata bahati ya kwenda nje ya nchi.

Msichana mstaarabu kwa muonekano, mpole, mwenye haiba na aibu tele, mwenye kujiheshimu kimavazi mbele za watu.

Kumbe nilinza nae kipindi kile alichokua akirudirudi likizo tukaahidiana tutaoana akishamaliza masomo. Ninampenda kwakweli ila baada ya kurudi nikaanza ona utofauti.Ingina hapa > https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/657002-mke-mtarajiwa-kaharibiwa.html < Sasa nilimwomba nikamtambulishe kwa kaka yangu lakini akadai anamwogopa sana akakataa, nikamwuliza kama anafahamiana nae akadai kwa sura tu anamjua.

Sikushtuka sana koz namfahamu ana aibu sana.

Baada ya siku kadhaa kupita nikiwa na mke huyu mtarajiwa, mara nikapata ujumbe toka kwa broo. Alimtumia rafiki yake aje kuniambia kua niachane na huyu mdada kwani alishatembea nae sana, nahisi kuchanganyikiwa. Tunaheshimiana sana na broo angu labda ndo mana kashindwa niambia direct.

Mawazo yamenitinga nikapata ujasiri nikampigia broo ku confirm.

Nilichojibiwa niko shocked! Nimeshare na broo! mbaya zaidi broo mwenyewe ni kicheche mbaya, mbaya zaidi bro anasisitiza si ulitumia condom dogo?'

Sijieleweielewi kwakweli nahisi kuchanganyikiwa

*********************

Heheheeee ndio dhambi ya UZINIFU HIYO.....Endelea.....Ungesubiri hadi ndoa usingechanganyikiwa :dance:
 
mtani jirani mi naona hata nawe umenisambu sambu kisambusa na kunishit shit kibagia....

kwema lakini mtani wa mimi?
ahahahahaha mtani jirani acha tu!nimekutumbua kabisaaaa
 
nyie wasichana nyie, somtaimz au basi naomba nisiendelee msije kunishikia bango humu. Halafu niliposoma hii story imenifanya nikumbuke ile ngoma ya usher na r.kelly inaitwa same girl. Dizain ka zinafanana
 
Msichana mstaarabu kwa muonekano, Mpole, mwenye haiba na aibu tele, mwenye kujiheshimu kimavazi mbele za watu.....

Pole....naona alikuingiza king kwa kujifanya kondoo!!!

Kapelekwa mule mule yan. Mapenzi darasa, mbaya sana kama ndio alikua anaanza la kwanza. LoL
Kwenye issue ya condom hapo ndio utratra mtupu.
 
hahahahaha tatizo c kupima embu jenga picha wakati wa kusubiri majibu toka kwa daktariii, ni noumaaaaaaaaaaaaa.

Hata kama we bikra wa kihaya...that moment lazma uhisi kujinyea. Hata sijuagi kwann aisee ?? Noma Sanaa !!!
 
*********************

Heheheeee ndio dhambi ya UZINIFU HIYO.....Endelea.....Ungesubiri hadi ndoa usingechanganyikiwa :dance:

Tema mate chini na usali sanaa kwa Mungu yasikukute. Haya mambo hayana mjanja. Unaweza ukajitunza bikra maisha yako yote.... Siku unafunua tu kwa mara ya kwanza mkenge huo. Kuna watu wamepata wachumba makanisani but still mtu aningizwa kingi. Ths Shit z very scary. Dah tumuombe sana Mungu aepushe mbali.
 
Madem wengi wenye sifa tajwa hapo juu ni moto wakuotea mbali
 
Haya majanga sasa.

Ni yuleyule binti tuliyekua tukiishi nae mtaani hapa na baadae akapata bahati ya kwenda nje ya nchi.

Msichana mstaarabu kwa muonekano, mpole, mwenye haiba na aibu tele, mwenye kujiheshimu kimavazi mbele za watu.

Kumbe nilinza nae kipindi kile alichokua akirudirudi likizo tukaahidiana tutaoana akishamaliza masomo. Ninampenda kwakweli ila baada ya kurudi nikaanza ona utofauti.Ingina hapa > https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/657002-mke-mtarajiwa-kaharibiwa.html < Sasa nilimwomba nikamtambulishe kwa kaka yangu lakini akadai anamwogopa sana akakataa, nikamwuliza kama anafahamiana nae akadai kwa sura tu anamjua.

Sikushtuka sana koz namfahamu ana aibu sana.

Baada ya siku kadhaa kupita nikiwa na mke huyu mtarajiwa, mara nikapata ujumbe toka kwa broo. Alimtumia rafiki yake aje kuniambia kua niachane na huyu mdada kwani alishatembea nae sana, nahisi kuchanganyikiwa. Tunaheshimiana sana na broo angu labda ndo mana kashindwa niambia direct.

Mawazo yamenitinga nikapata ujasiri nikampigia broo ku confirm.

Nilichojibiwa niko shocked! Nimeshare na broo! mbaya zaidi broo mwenyewe ni kicheche mbaya, mbaya zaidi bro anasisitiza si ulitumia condom dogo?'

Sijieleweielewi kwakweli nahisi kuchanganyikiwa
Pole sana mkuu
 
Back
Top Bottom