Hawa wasanii wa bongo ni janga lingine..pale uwanja wa ndege wanapitaje?? Na huyo kaka yake anaonekana nae ni walewale eti 'miaka mitano sii mingi atatoka tu' shame on you mnaharibu maisha ya watu kwa ujinga wenu wa.pu.mba.vu kabisa
Mods toa huu upuuzi,kiziwi sisi hatuhusu
huyu kwani ni kiziwi kweli????
Sasa hadi VIZIWI wetu wanawekwa karibu na hao CARTEL? inasikitisha!!!
Rafiki yake Lemutuz baharia ndio boss wao ccm chama cha kitapeli ndio maana hata rais aliongeleagi
Kweli fedha fedheha! Yaani hawa PUNDA wanavyobeba hayo madawa ya kulevya ni kwa NJIA ya udhalilishaji mkubwa. Kwasababu hizo KETE au PIPI huingizwa kwenye UTUMBO MKUBWA (sio tumboni) kupitia MKUNDUNI (ANUS). Just imagine mtu unaingizia kete kupitia mkunduni kisa eti pesa. Ndiyo maana wabeba unga wengi wanapenda K.U.F.I.R.W.A wake kwa waume.
Na huyo jack anayesema alikua uwanjani kipindi kiziwi anakamatwa,naye kadakwa pande hizo hizo! Walikua njia moja hawa.