mito
JF-Expert Member
- Jun 20, 2011
- 10,682
- 10,801
Hawa wasanii wa bongo ni janga lingine..pale uwanja wa ndege wanapitaje?? Na huyo kaka yake anaonekana nae ni walewale eti 'miaka mitano sii mingi atatoka tu' shame on you mnaharibu maisha ya watu kwa ujinga wenu wa.pu.mba.vu kabisa
usikute anajifariji tu mkuu, manake siamini kama sheria za Hong Kong ni tofauti na za China mainland