wakozuka
Member
- Mar 24, 2011
- 30
- 7
Jamani nimeskia kutoka kwenye kinywa baadhi ya wafanyakazi katika kiwanda cha A to Z arusha kuwa kuna binti kabakwa ndani ya kiwanda hicho na wahindi wanne hadi kufa, binti huyo hajulikani mahali mwili wake ulipo hadi sasa na hana hata miezi miwili hapo kiwandani. Mbunge wa arusha Lema nae imesemekana anafuatilia swala hilo hapo kiwandani na kuoneka juzi na jana. lakini pasipo kutoa taarifa yoyote katika media.
sasa wana intelijensia kuna alie sikia hili?
sasa wana intelijensia kuna alie sikia hili?