[h=2]upande wa pili wa shilingi; Ni kweli lema alifanyiwa kitu mbaya?[/h]
Mwanzo ilikuwa tetesi, maneno ya vijiweni lakini mwisho wa siku lema mwenyewe akaibuka jukwaani akinadi picha na video "akifanyiwa kitu mbaya". madai ya lema katika hotuba yake kwa wananchi ni kwamba zile picha ni feki na zimetengenezwa na UVCCM na akataja hadi majina ya baadhi ya watu.
maswali magumu.
1. kama kweli zile picha ni za uongo kwanini lema haendi mahakamani? ameishia kuongea tu na wapiga kura wake, is that enough?
2. kama kweli aliowataja ni wahusika waliotengeneza hizo picha, kwanini hadi leo hawapeleki polisi au mahakamani ili haki itendeke?
3. lema amekuwa akijinadi kuwa yeye ni jasiri na kwamba uoga ni dhambi pekee ambayo yeye hana, je kwa hili kwanini lema ameonyesha woga wa hali ya juu namna hii?
4.kwanini lema alilazimisha kuingia mahabusu kwenye ile skendo ya mgogoro kati yake na uongozi wa serikali mkoa wa arusha?? kwanini alipowekewa dhamana alikataa kudhaminiwa?? kunani mahabusu?
5. ni kweli lema alifanyiwa kitu mbaya? kama ndio kwanini na kama sio kwanini apigwe picha za namna hiyo au kwanini yeye na si mwingine adhalilishwe hivyo?
Namuomba lema kama kweli zile picha ni za uongo, aende mahakamani awashtaki aliowatuhumu ili haki itendeke, na kama hizo picha ni za kweli, lema awe mpole tu akiri udhaifu mana huku mtaani watu wanasema lengo la yeye kutaka kusambaza zile picha na kujitangaza kuwa alifanyiwa hivyo ni namna ya kujitangaza ili apate wateja kiurahisi. kumbuka watu maarufu, wafanyabiashara, wanasiasa na wasanii wakubwa ktk nchi zilizoendelea hujitangaza waziwazi kuwa wao wanashiriki mapenzi ya jinsia moja na hata hufikia kufunga ndoa kabisa.