mimi huwa na hasira sana na hawa kuch kuch hota hai....yani wakidakwa ni kifo tu!Jamani nimeskia kutoka kwenye kinywa baadhi ya wafanyakazi katika kiwanda cha A to Z arusha kuwa kuna binti kabakwa ndani ya kiwanda hicho na wahindi wanne hadi kufa, binti huyo hajulikani mahali mwili wake ulipo hadi sasa na hana hata miezi miwili hapo kiwandani. Mbunge wa arusha Lema nae imesemekana anafuatilia swala hilo hapo kiwandani na kuoneka juzi na jana. lakini pasipo kutoa taarifa yoyote katika media.
sasa wana intelijensia kuna alie sikia hili?
mimi huwa na hasira sana na hawa kuch kuch hota hai....yani wakidakwa ni kifo tu!
Makamanda Arusha, A to Z kunani?
CC; Smile, Preta
mimi huwa na hasira sana na hawa kuch kuch hota hai....yani wakidakwa ni kifo tu!
Makamanda Arusha, A to Z kunani?
CC; Smile, Preta
Hawa kina kemcho wameshindwa kwenda club kuchukua changu?
Labda walikuwa bado hawajua viwanja. Si unakuta ni wageni.
WApi nilipowatetea wabakaji sasa?Wewe ni 'mtetezi' wa wabakaji hao..??
Mbona unasema kuwa ni wageni..?? Hivi A to Z ni kiwanda kipya hapa TZ..??
Na umejuaje kuwa hao ni wageni..??
Kwa mijibu wako wewe, mbakaji akiwa mgeni tu, basi utakuja hapa JF 'kumtetea'...!!!!!