habari ya hapa
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 12,791
- 8,749
Hii kitu imeongelewa mara kibao,anayeweza kuweka link atakua amekusaidia
Utoko ni discharge ya kawaida sana,hata usipoona wakati wa tendo lazima ukute ute huo mzito kwenye kyupi
Kiafya hauna madhara kama
Kama kuna harufu,ute huo una rangi kama njano or brown basi lazima kuna maambukizi.
Ute huo kuwa mwingi au kidogo hutofautiana mwanamke na mwanamke kwasababu za kimaumbile
NOTE: Kizaz hujiswafi chenyewe ndo mana kuna ute kama huo na si vyema kujisafisha tupu(kwa mwanamke) kwa kujiingiza kidole kwenye tupu kwani husababisha maambukiz.
Cha msingi selfu hygene izingatiwe
Kalimati umeongea vyema..
Juzi kati hubby alienda hospital moja iv hapa mjini akawa anaongea na daktar,daktar akamwambia hata siku moja mwanaume hawez kuambukizwa UTI na mwanamke maana tundu la mkojo ni tofauti na ile sehem kwa ajili ya tendo la ndoa,kwahyo UTI haiambukiz bali mwanamke akishambuliwa na fungus ndo huspread mpaka ktk sehemu dushe linapaswa kupita ndo hapo mwanaume hupata UTI.
Ivo ukiona mwanaume una UTI mshaur mkeo akachek fungus...na wadada weng tunasumbuliwa na hii ktu
Hiyo kitu ni ya kawaida kijana wala usiogope ila kama inakuwa too much mshauri huyo Mdada aende kuchek Hospital. Inabidi vitu vingine mkue kwanza kisha ndo muwe mnafanya, umeona hiyo kasoro ndogo tu unakuja kuiweka hadharani je ukikutana na mengine makubwa w
anayokutana nayo kaka zako si utaenda kupeleka Clouds, Radio One, ITV na TBC?
Punguza uzinzi, tafuta mtu mmoja utulie nae au funga nae ndoa kabisa maisha yenyewe haya hayaeleweki kila mtu unayekutana nae ana matatizo kibao ya kiafya.
Umesema asili yako ni kutoka Kanda ya Ziwa, isije ukawa hujadondosha mkono wa Sweta na hayo mauchafu yanatokea kwenye mashine yako kisha unawasingizia watoto wa wenzio?
Inabidi pia uelewe mapenzi ni uchafu ila wapenzi wenyewe mnatakiwa muwe wasafi, huko unapokuona kunatoa hivyo vitu unaviita uchafu, kuna watu bila ya kupiga vigele gele pande hizo wanaona hawajaridhishana katika game.
You spoke well.
Wanawake wengine wanaambiwa wajiswafi kwa sabuni mbalimbali, wanaweka vitu vya ajabu ukeni wakidanganywa kwamba itakua tight kitu ambacho hakipo madhara yake ni magonjwa kama hayo ya UTI. Uke wa mwanamke ni kama mpira unaotanuka naa kujirudi kwenye hali yake ya kawaida pindi kitu kilichokitanua kuondoshwa.
Wanawake wasipotoshwe hizo sabuni na vingine ni biashara tu.
Wakaka nao ni jukumu lao kuwaeleza wapenzi wao ukweli kuhusu usafi bila kujali atajisikia vipi kwani ni tiba yenu wote na huepusha mengi.
Heeeh umenistua...! Nipo sana tuuNimekufumania kumbe upo huku
Dah! hata chai nimehairisha kunywa, asubuhi njema bhana
Kujisafisha kwa maji mengi na ya kutosha ndio swala la muhimu
Kusafisha mikunjo vizuri (mashavu ya uke) ile mikunjo ya ndani na kuzunguka kisimi....kusafisha vizuri na kwa uangalifu msamba(sehemu kati ya uke na sehemu ya haja kubwa)
Kwa kufanya hivi mara kwa mara mwanamke huwezi kuwa na harufu za ajabu ajabu na utakuwa ume'ensure maximum protection sehemu hizo
Thanks
Hapana King'asti naona hatujaelewana vizuri,huyo Dr.kasema ikitokea mtu anaumwa uti mara kwa mara mwanamke nazungumzia,kuna muda mwingine inakua ana fungus,nazungumzia uti isiyopona yana inajirudia mara kwa mara....na akasema wanaume hawaumwagi mara kwa mara uti na akiumwa ujue kaitoa kwa mwanamke..SIJASEMA MIM NI MANENO YA DR...MIM SIJUI MAMBO YA UDAKTAR nachojua ni kua napaswa kujisafisha kwa bibi vizuri na kutumia choo kisafiKwa hiyo UTI inasababishwa na fungus?
Kweli mjini shule. Ila kaangale tena facts zako na hubby aisee, huyo dr nna mashaka nae.
Mzurimie...kilichompeleka hubby hosp ni kua alikua anajisikia vibaya akaambiwa apime maralia,typhoid na uti hakukutwa na kitu sasa ndo bwana daktari akamwambia hayo makitu niliyosema,namm sijasomea mambo ya hosp ivo nimesema kama alivyosema labda madaktari waje watuelezee vizuri.Mmmh huyu Dr hata siamini alichosema. Kuna cases nyingi zinatokeaga za wanaume kuja kuambukiza wake zao ndani na ndio hapo wake wanajua mume alienda kucheza nje tena kavukavu. Na mambo hayo ya oral nayo ni mabaya.
Ila mumeo nini tena kilimpeleka huko kwa dr?
Uo uweupe unaweza kuwa nao wa kawaida mlaini tu na ukaondoka, wengine inakuwaga sign ya mimba unakuwepo kila siku bila kuishia na haunuki... Ila kwa kweli kama umesema hadi kama mchelle hiyo sio nzuri washauri.
Wanawake lazima jamani muiname ili mjisafishe vizuri huko na pia unaingiza kidole na kutoa na kukinusa ili ujue kama mambo poa au la. Ukizoea hautaona shida kabisa ndio mafunzo wengine tulipewa hm tulikuaga.
Hapana King'asti naona hatujaelewana vizuri,huyo Dr.kasema ikitokea mtu anaumwa uti mara kwa mara mwanamke nazungumzia,kuna muda mwingine inakua ana fungus,nazungumzia uti isiyopona yana inajirudia mara kwa mara....na akasema wanaume hawaumwagi mara kwa mara uti na akiumwa ujue kaitoa kwa mwanamke..SIJASEMA MIM NI MANENO YA DR...MIM SIJUI MAMBO YA UDAKTAR nachojua ni kua napaswa kujisafisha kwa bibi vizuri na kutumia choo kisafi
Hapana King'asti naona hatujaelewana vizuri,huyo Dr.kasema ikitokea mtu anaumwa uti mara kwa mara mwanamke nazungumzia,kuna muda mwingine inakua ana fungus,nazungumzia uti isiyopona yana inajirudia mara kwa mara....na akasema wanaume hawaumwagi mara kwa mara uti na akiumwa ujue kaitoa kwa mwanamke..SIJASEMA MIM NI MANENO YA DR...MIM SIJUI MAMBO YA UDAKTAR nachojua ni kua napaswa kujisafisha kwa bibi vizuri na kutumia choo kisafi