MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
Binti kuwa na subira atakuoa, ni kero kumkumbusha kila baada ya miezi 6 kwa jambo aliloahidi. Si kashasema ATAKUOA? Punguza kiherehere cha kila baada ya miezi 6 kukumbusha jambo lililo kwenye mchakato tayari.