MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
Mabinti tupo, mmoja wapo mimi...Mabinti mnaitwa japo humu inasemekana hakuna mabinti.
Kuna kina nani tena? 😅Mabinti mnaitwa japo humu inasemekana hakuna mabinti.
Kwani tunaoa? Si tulikubaliana tukatae ndoa mbona mnatuchanganyaBinti kuwa na subira atakuoa, ni kero kumkumbusha kila baada ya miezi 6 kwa jambo aliloahidi. Si kashasema ATAKUOA? Punguza kiherehere cha kila baada ya miezi 6 kukumbusha jambo lililo kwenye mchakato tayari.
Upo sahihi bintiMabinti tupo, mmoja wapo mimi...
Mwanaume atake mwenyewe kuoa kukumbusha ni kiherehere...
Kwema bro?Kuna mabroo kama Evelyn Salt na Atoto dipresheni
Nipo Broo...Upo sahihi binti
Ulipotea sana binti au ndio ulienda kukumbushia ndoa?
Poa mama mchungajiNipo Broo...
Kwema kabisa bro wanasema humu kuna mabinti ni kweli?Kwema bro?
Aaah humu tumejaa mabro tupu.Kwema kabisa bro wanasema humu kuna mabinti ni kweli?
Ila mabroo 😂Aaah humu tumejaa mabro tupu.
Mabroo sio watu wema kabisa🤣Ila mabroo 😂
Kabisa ndio chanzo cha dipreshen kwa masistaMabroo sio watu wema kabisa🤣
Nje ya mada, jee wewe umeolewa?Binti kuwa na subira atakuoa, ni kero kumkumbusha kila baada ya miezi 6 kwa jambo aliloahidi. Si kashasema ATAKUOA? Punguza kiherehere cha kila baada ya miezi 6 kukumbusha jambo lililo kwenye mchakato tayari.
Nimemuoa baba yako.Nje ya mada, jee wewe umeolewa?