Binti Makamba, Lundenga, Miss Tanzania na roho zinazoelea!

Status
Not open for further replies.

Usiwe na hasira ndugu.
Zanzibar ni Nchi na imependa kuwa hivyo na hakuna wa kuwazuia.
Ila inabidi waelewe kuwa ajali si suala la muungano.
Hapo watafute miguu yao kusimama.
 

Yani ji sawa na mashabiki wa Arsenali wanakufa kwa kukosa ubingwa wakati wenyewe Arsene Wenger na wenzie vitita vinaingia tu, nambie serkali ya mavumbuzi imefanya kitu gani kama yanyewe mpaka sasa na taarifa bado hazijitoshelezi, waachieni hilo jambo jamani siyo jambo la muungano!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…