Binti Makamba unatisha

Status
Not open for further replies.
hiyo pesa ni ya charity, yuko na charity yake inaitwa heart foundation, wanachanga mahela huku majuu ( wazungi) kwa ajili ya kusaidia watu wenye matatizo ya moyo yeye anatanua nao! ngoja niwataharifu, na hizi picha watapazipata

Sasa bila kukaa na wachangiaji wakubwa huko Burj utawapata wachangiaji wa haja kwenye "kajamba nani"? wanakofikia wachagga wa Tanzania wanapokwenda kununua bidhaa Dubai?
 

Raha jipe mwenyewe usisubiri kupewa
 
she looks so lovely with her daughter Malaika.. matunda ya familia bora hayo si ya mishahara ya vodacom,, anapewa pocket money na baba yake as long as mshua pesa ipo so mwache ale raha, afikirii matofali wala kiwanja kwa nini ajibane,, jamani wadau na sisi tujitume watoto wetu wa enjoy,,
 
Hivi kumbe mtu unaweza kuwa kichwani hazimo afu ukazaa mitoto ina akili
View attachment 43222

Possibly Mkuu, vipi una wasiwasi huenda Janualy ni mtoto wa kusingiziwa? nadhani tufanye utafiti inawezekana mama yao kina Janualy Upstairs yuko vizuri ndio maana Janualy atleast anaonekana ni kijana makini kiasi chake.
 
Acha ajiachie,hana cha sijui baba kaishiwa,baba yake anakula pension .Hongera makamba you worked hard now your kids ni matawi ya juu

Makamba has worked hard? In which cadre of government service? Please let me know..........a retired army captain working hard in this country? Oooopsssssssssssssssssss!
 
Possibly Mkuu, vipi una wasiwasi huenda Janualy ni mtoto wa kusingiziwa? nadhani tufanye utafiti inawezekana mama yao kina Janualy Upstairs yuko vizuri ndio maana Janualy atleast anaonekana ni kijana makini kiasi chake.

Duuuuuuuuuu! wakuu tupunguze mashambulizi inatosha.........wengi wanajua nini vyanzo vya watoto wa mhusika kuwa na maisha ya juu.
 

Si nilisema! Utafananisha na Celebrities wa Bongo kama Irene na Mboni......? Auntie ezekiel? wangepata nafasi hizo mbona tungekoma?

Tanua Mwamvita tanua, umepata nafasi tumia, kamua mwanangu, sisi wabongo tufe tu na roho zetu za Korosho! Tehe tehe tehe....
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…