Binti Makamba unatisha

Status
Not open for further replies.
Arifu...unapimam vipi mtu kufanikiwa? kukaa kwenye hotel kubwa kwa pesa ya charity?
Au kuvaa CL?
Au unapimaje achievement arifu? mimi hapa ndio nakoma na wabongo aisee.....
 
Arifu...unapimam vipi mtu kufanikiwa? kukaa kwenye hotel kubwa kwa pesa ya charity?
Au kuvaa CL?
Au unapimaje achievement arifu? mimi hapa ndio nakoma na wabongo aisee.....

Kama wakenya wanavyopima achievement ya mama Lucy Kibaki........tehe tehe tehe
 
Kuwa kama Lucy Kibaki........tehe tehe tehe
tehe tehe teeh arifu mie nakoma na wabongo aisee......huwa naangalie ile blog ya MK nakoma na wabongo hasa wadada wa hapa town dar....siku hizi ukipita kwenye makumbi ya starehe wako very busy kusaka wazungu nao "watoke kimaisha " kama mange......

Mwamvita kama ni kupiga picha na kulala kwenye hotel hio ni mafanikio?
 

Signature yako nimeipenda mkuu
 


Is this a Tanzanians phenomenon only? Are you sure that will not find similar scenario in Nairobi and Mombasa? I have been in Kenya several times, I am wondering what is so special with wadada wa Dar Es Salaam. By the way Mwanvita is not representing wabongo, we are just making funny out of her.......
 
Kama ulikuwa unampiga makonzi enzi izo, basi sa ivi na yeye ni zamu yake kukupiga makonzi! enjoy mtoto wa Makamba ukishamaliza kustarehe unaingia bungeni tukupe na uwaziri basi maisha yanaenda
mkuu...mi kunipigaa makweziii itakuwa ngumu,siko level zake walaa hatuwezi kukutana kwenye club au sehemu zake za starehe,bia yangu galiii ni banana zoro na chibuku.mademu wangu mama waunzaa na mama ntilie.na nilivyo kijebaaa nimekomaa hawezi nitambuaaa
 

chezea FM Akademia
 
hiyo ndo tofauti ya huyu binti na mademu wengi bongo!!!!kuna mademu wanafikiria weekend waende ngwasuma,jahazi sijui continental khanga moja!nguo akanunue mwenge au ilala!.......yeye bata ndefu hakuna mwandishi wa risasi,sani au kiu anaweza kugusa apate picha za kuuzia gazeti!................LG
 

ID yako ni jibu tosha...kwaaaaa kwaa kwaaaaaa!
 
Msanii wa filamu Irene uwoya aliwahi kusema ungekuwa hunipendi usinge niongelea,kwa hiyo kumbe tuna mpenda mwamvita na tuna ipenda u turn.
Sasa kwa nini watu huwa wanaiponda sana hapa jf huku kuna ushahidi wa wazi kuwa watu wanai tembelea,huwa najiuliza kwani kuna ubaya gani kukubali tu mtu anapofanya jambo zuri.

Mfano mwamvita anajua kuvaa vizuri,kuliko wasichana wengi,anavaa nguo expensive na very ellegant kwani huo si ukweli tu,ila ukisema mtu anakasirika kama vile umemwambia yeye hapendezi au hajui kuvaa he!
 

Mtu hujikuna mkono unapofikia. Wewe ulitegemea waende kutanua Dubai wakati hawana uwezo wa kufanya hivyo. Kila mtu ana uwezo na bahati yake. Na bahati ya mwenzako usiilalie mlango wazi. Ridhika na ulichojaaliwa kuwa nacho. Usimuige tembo anavyokunya maana utapasuka msamba
 

Tehe tehe tehe
 

JF is never boring (the Boss)

Baelezee
 
Wanavyo enjoy ukiwatajia kwamba kuna kiama wanaweza kukutoa nduki.!hiyo ndo raha ya maisha bwana ule utakacho, uvae utakacho, uende utakapo na mengine mengi! Katika hayo yote Ukimuweka Mungu mbele na kumtii ndo kabisaaaa utaishi klwenye dunia hii kama uko mbinguni.....!

Namtakia huyu binti kila la heri katika maisha yake, aenjoy sana lakin asimsahau Mungu wake kwani bila yeye asingefika hapo, pia akumbuke ujana ni moshi so kujiandaa kuukabili uzee ni muhimu pia...............
 

ndo utofauti naouzungumzia!!!labda kama umenielewa vibaya!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…