Binti mashalah, anayepinga akaapeal kwa MUNGU!

Smile

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2011
Posts
15,347
Reaction score
11,619

mimi sio mdau wa haya mambo but huyu dogo kanivutia kwa kweki ana kipaji natural, ni mkali jamani sema ndo hivo wabongo hatupo fair ,yule wababa wanamfagilia sijui ana nini,sijui ana tunguri yule,au vile kasuka? anyway tuyaache hayo

tusahau ya uamsho ,sisi sote ni ndugu
tumpeni kura jamani
piga kura yako
ebs 09 kwenda 15530
 
he he kweli ni kifaaa lkn kwani amekuzidi wewe dada smile
 
kwa hiyo kumbe huyu shemeji yako nimechagua kwelikweli ee!
 
Kua anagombea nini tena Mkuu Smile....hapo nimepitwa hebu niweke sawa..Pili anaitwa nani?
 
Last edited by a moderator:
Kipaji anacho tatizo hana konfidensi kabisa ila anaweza akapewa maana wazanzibari walivyo wabaguzi na zantel yao huyo binti watampitisha
 
Mwanamke anayesuka "dread" huwaga "simfagilii" hata kidogo...!
 
Kua anagombea nini tena Mkuu Smile....hapo nimepitwa hebu niweke sawa..Pili anaitwa nani?
ahahaaa mkirua upo pande gani jamani ni mshiriki wa bongo star search bwana anaimba vizuri kweli anaitwa salma
 
Kipaji anacho tatizo hana konfidensi kabisa ila anaweza akapewa maana wazanzibari walivyo wabaguzi na zantel yao huyo binti watampitisha
ahaaa ana confidence bwana ni vile bado kinda,uamsho hawapigi kura hata..tumsaidie
 
Ngoja nitafute Picha ya Walter nikuwekee hapa Smile
 
Last edited by a moderator:
Anastahili, ana kipaji kikubwa sana huyu binti
Huwa ananikumbusha Eryka Badru

Hata Walter mkali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…