Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,439
- 145,410
Itapendeza iwapo siku moja mbunge acheze sindimba bungeni 🤣.Ni utoto tu, akikua ataacha.
Hata hapa bongo, kuna wabunge waliingiaga bungeni wakiwa watoto, walipofika huko walitukana na wengine kutaka kuzipanga.
Ila leo hii ukiwapa mic wanaongea fact na wanabishana kwa hoja
Mimi nadhani asome Qur'an aya zinazoungumzia utoaji wa haki kwa watunga sheria na wenye mamlaka. Hii itasaidia, kucheza sindimba watu watacheka itaishaItapendeza iwapo siku moja mbunge acheze sindimba bungeni 🤣.
Wapo mpaka wanaoruka sakarakasi hapa Tz.Itapendeza iwapo siku moja mbunge acheze sindimba bungeni 🤣.
Kwamba ni makini kisa kupiga makelele, we utakua typical democrat mnapenda woke and cancel culture ila hao hawana hoja yaani wanataka exclusive treatment kuliko jamii zingine kwani how special are they?Wiki iliyopita, mnamo tarehe 14 Novemba, katika hatua ya kuupinga muswada mpya ambao unafasili misingi ya mkataba kati ya jamii ya Maori [jamii atokayo] na Wakoloni wa Kiingereza, alianza kuimba na kucheza wimbo wa “Ka Mate” huku akiichana na kuitupa karatasi ambayo muswada huo ulikuwa umeandikwa.
Mimi nadhani asome Qur'an aya zinazoungumzia utoaji wa haki kwa watunga sheria na wenye mamlaka. Hii itasaidia, kucheza sindimba watu watacheka itaisha
Nimesema ni makini?Kwamba ni makini kisa kupiga makelele, we utakua typical democrat mnapenda woke and cancel culture ila hao hawana hoja yaani wanataka exclusive treatment kuliko jamii zingine kwani how special are they?
🤣Wapo mpaka wanaoruka sakarakasi hapa Tz.
Kwa nchi yenu unamuona jasiri kwasababu mmekaririshwa kuwa viongoz wenu miungu watu. Hawapingwi. Ila nchi za huko wanaojielewa kupinga mswada au hata kuchana makaratasi yake au kumpinga kiongoz hadharani ni kitu cha kawaida. Angalia mwez uliooita Mbunge wa Australia alivyomchana na kumkashifu king charles wa Uingereza alioenda Australia.. Kamwambia ufalme wako peleka kwenu mlitesa watu mlipotawala. Pia angalia Youtube speaker wa US kipindi hicho anachana hotuba ya trump mbele yake alipomkabidhi.
Huyu binti kanivutia sana. Ni mbunge huko New Zealand. Ndo mbunge mwenye umri mdogo kwenye bunge la nchi hiyo. Ujasiri na uthubutu wake ni A+.
Wiki iliyopita, mnamo tarehe 14 Novemba, katika hatua ya kuupinga muswada mpya ambao unafasili misingi ya mkataba kati ya jamii ya Maori [jamii atokayo] na Wakoloni wa Kiingereza, alianza kuimba na kucheza wimbo wa “Ka Mate” huku akiichana na kuitupa karatasi ambayo muswada huo ulikuwa umeandikwa.
Wamaori wenzie ndani ya bunge nao walimuunga mkono kwa kuanza kuimba na kucheza Haka.
Wow! Ni binti wa 2002.
Hapana.Kwa nchi yenu unamuona jasiri kwasababu mmekaririshwa kuwa viongoz wenu miungu watu. Hawapingwi. Ila nchi za huko wanaojielewa kupinga mswada au hata kuchana makaratasi yake au kumpinga kiongoz hadharani ni kitu cha kawaida. Angalia mwez uliooita Mbunge wa Australia alivyomchana na kumkashifu king charles wa Uingereza alioenda Australia.. Kamwambia ufalme wako peleka kwenu mlitesa watu mlipotawala. Pia angalia Youtube speaker wa US kipindi hicho anachana hotuba ya trump mbele yake alipomkabidhi.
Je jiulize kuna mbunge wenu anaweza kumchana King charles akija Bongo.
Brilliant
Huyu binti kanivutia sana. Ni mbunge huko New Zealand. Ndo mbunge mwenye umri mdogo kwenye bunge la nchi hiyo. Ujasiri na uthubutu wake ni A+.
Wiki iliyopita, mnamo tarehe 14 Novemba, katika hatua ya kuupinga muswada mpya ambao unafasili misingi ya mkataba kati ya jamii ya Maori [jamii atokayo] na Wakoloni wa Kiingereza, alianza kuimba na kucheza wimbo wa “Ka Mate” huku akiichana na kuitupa karatasi ambayo muswada huo ulikuwa umeandikwa.
Wamaori wenzie ndani ya bunge nao walimuunga mkono kwa kuanza kuimba na kucheza Haka.
Wow! Ni binti wa 2002.
Uko ofisi gani ta serikali utudhitishie hili na ss tukupe vivid ongoing example yanyofanyika modusini against tribal and religious differencesWatanzania tumevuka level ya ukabila na umaeneo