Binti miaka 20 anatafuta kaz

Ni kweli december sikuwa online nlikua kijijini sitimbi 😁 hamna network
Oooh ulifanya vyema kwenda kijijini huwa kuna test nzuri ya uasilia rafiki.
Hope uli enjoy sana kula vyakula vya asili ukizungukwa na watu wenye upendo wa kweli🀣
 
Dah kweli wana upendo asee, yani wakati tunaondoka alikuja mdada mmoja anatukimbilia akatoa buku mbili kwenye kanga nikanywe soda...I saw that's love kwakweli alinipa alichokua nacho hakikua zaidi kuna watu Wana upendo wa dhati
 
Aiseee!
Sasa huyo siku mtumie nguo aaah atakubariki hadi ushangae.
 
Wewe ni mzazi bora.
ITapendeza ukimwoza atakushukuru sana
Last born akifikisha 5years naanza harakati rasmi za kumtafutia mchumba sasa ntaanza hapa home jf 😁😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…