Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
Oooh ulifanya vyema kwenda kijijini huwa kuna test nzuri ya uasilia rafiki.Ni kweli december sikuwa online nlikua kijijini sitimbi š hamna network
Hope uli enjoy sana kula vyakula vya asili ukizungukwa na watu wenye upendo wa kweliš¤£