MTOTO YATIMA
Senior Member
- Jul 1, 2012
- 147
- 58
Jamani kuna binti ambaye nimetokea kumpenda sana kupita maelezo, tunachart facebook na pia kwene simu sana tu ki ukweli kwa upande wangu naona amekidhi viwango but nimeogopa kumtongoza kwasababu nahohofia akinitolea nnje itakuweje nataman sana kuwa naye bt nikifikiria suala la kuambiwa tena your late ninaona itaniumiza sana.
Nilisha wahi kuonana naye face to face mara moja tu .plse naomba msaada wenu.
Nilisha wahi kuonana naye face to face mara moja tu .plse naomba msaada wenu.