Natafuta binti mchangamfu,mwenye upendo wa kweli..dini na kabila lolote...umri usizidi miaka 35..rangi yoyote mnene wa wastani.Kama una sifa hizi tafadhali ni inbox tufanye mawasiliano
Mbona wewe huelezi sifa zako mwanangu? Pia uangalie wasijejitokeza "mabinti" wanaofiti wakaishia kuwa wanigeria. Maana siku hizi wamejazana Sinza pale.