Binti Mtanzania aliyelipwa BILIONI 1 Ufaransa kwa kazi ya siku 1

Binti Mtanzania aliyelipwa BILIONI 1 Ufaransa kwa kazi ya siku 1

Bilioni moja over night ? Sijui ila hongera zake huyu anapasua anga anamwacha Flaviana mbali sana ,Victoria's Secret fashion show kutuboa mchezo ?
 
Akitokeza nchini tu utasikia" wewe ni binti yetu na ukitaka kuishi kwa amani we TURIPE KODI yetu ya mapato unayoyapata huko kwa sababu ni kodi ya watansania irimpereka mama yako ughaibuni". Hatuwezi kukubali nchi kupoteza mapato mengi kiasi hicho na usiporipa vijana wangu watakukamata"
TURIPE = TULIPE
 
Hongera sana binti WA TANZANIA . ..KEEP IT UP
 
Kwa Herieth kulipwa hio pesa hata sishangai ameshafanya kazi na designers wakubwa kama tom ford Calvin klein etc pia contract yake na Maybelline inampandisha sna chat.

Hopefully next year atapata mafanikio zaidi [emoji4] [emoji4]
 
Masupastaa wa nchi zilizoendelea , wanafahamika kwa kazi za mikono yako na mafanikio ya kiuchumi. Wasnii wa nchi zetu hizi, wanafahamika kwa skendo na maisha ya kuigiza kwani hawana kitu.
 
Back
Top Bottom