Binti Mtanzania aliyelipwa BILIONI 1 Ufaransa kwa kazi ya siku 1

Bilioni moja over night ? Sijui ila hongera zake huyu anapasua anga anamwacha Flaviana mbali sana ,Victoria's Secret fashion show kutuboa mchezo ?
 
TURIPE = TULIPE
 
Hongera sana binti WA TANZANIA . ..KEEP IT UP
 
Labda ni bilioni moja za Zimbabwe.
 
Kwa Herieth kulipwa hio pesa hata sishangai ameshafanya kazi na designers wakubwa kama tom ford Calvin klein etc pia contract yake na Maybelline inampandisha sna chat.

Hopefully next year atapata mafanikio zaidi [emoji4] [emoji4]
 
Masupastaa wa nchi zilizoendelea , wanafahamika kwa kazi za mikono yako na mafanikio ya kiuchumi. Wasnii wa nchi zetu hizi, wanafahamika kwa skendo na maisha ya kuigiza kwani hawana kitu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…