Binti Mtanzania aliyelipwa BILIONI 1 Ufaransa kwa kazi ya siku 1

Masupastaa wa nchi zilizoendelea , wanafahamika kwa kazi za mikono yako na mafanikio ya kiuchumi. Wasnii wa nchi zetu hizi, wanafahamika kwa skendo na maisha ya kuigiza kwani hawana kitu.
ukweli mtupu.
 
Daah kuna watu wanaotea hela kirahisi jamani. Wiki ya pili hii pombe yangu ya ugimbi haitoki kabisa biashara imekua ngumu
 
Ngoja nifanye mchakato wa kupata no yake,na hivi nilivyo Handsome simkosi.
 
Mcanada mwenye asili ya Tanzania. Kazi nzuri


Aisee hata mimi nimeshtukia. Mara nyingine anatambulishwa kama canadian na maranyingine Tanzanian. Sijui ndio hao lukuvi anasema wamejilipua na inabidi Tanzania wapeleke helayao kama investor. Huyu angejitambulisha kama Mtanzania ni publicity ya kutosha kuliko wanavyotanza kwenye mabango marekaani na uingereza.
 
Hongera sana kwa huyu mdada, kwenye career yake ni kama kafika peak vile.
Alafu hamna kitu kinanivutia kama hizo nywele natural zilizokunjwa hivyo, hua nikiona mdada katupia hiyo kitu navutiwa sana sijui kwa nini.

Ila tumalizie na [HASHTAG]#FreeMaxenceMelo[/HASHTAG]
 
Inabidi nikatolee posa haka kabinti nika OE tutusue maisha pamoja
 

Ni mcanada mwenye asili ya Tz. Alizaliwa Tz ila kakulia Canada na anatumia pasi ya Canada hivyo ni mcanada since Tz hatuna raia pacha.
 
Ni mcanada mwenye asili ya Tz. Alizaliwa Tz ila kakulia Canada na anatumia pasi ya Canada hivyo ni mcanada since Tz hatuna raia pacha.

Simlaumu kutumia pass za canada kwasababu pass za canada zinamraisishia mambo mengi . Tatizo Tanzania tunaona tunawakomoa wanaopata uraia nje. Lakini ukweli huyo dada angeweza kuitangaza Tanzania kuliko Diamond na wapiga dili wanaotumiwa na serekali kutangaza tanzania. Sasa huyo dada anapasi za canada Tanzania ikitaka kumtumia kutangaza Tanzania pesa atakayo stahili. Kulipwa kama mcanada lazima iwe ndefu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…