Binti rafiki na hatimae kuwa mke wa ndoa::

Dowd

Member
Joined
Nov 15, 2018
Posts
6
Reaction score
5
Habari za jukwaa Hili”

Nahitaji kuwa na mahusiano ya Karibu na binti/ mdada mwenyewe ndoto za kujenga familia(kuolewa) awe mtu mwenyewe malengo na maisha... umri wangu ni miaka 32yrs nipo dsm’ kama upo serious tafadhali njoo pm tupate wasaha mzur wa kujuana:
 
Kila la heri
 
Reactions: Sax
miaka 32 bado tu huna ujasili wa kumfuata mwanamke ana kwa ana ili umwambie hitaji lako kwake?.

kwakweli hauko sahihi juu ya hili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…