Binti rafiki na hatimae kuwa mke wa ndoa::

Binti rafiki na hatimae kuwa mke wa ndoa::

Habari za jukwaa Hili”

Nahitaji kuwa na mahusiano ya Karibu na binti/ mdada mwenyewe ndoto za kujenga familia(kuolewa) awe mtu mwenyewe malengo na maisha... umri wangu ni miaka 32yrs nipo dsm’ kama upo serious tafadhali njoo pm tupate wasaha mzur wa kujuana:
Mm hapa
 
Back
Top Bottom