Binti Unahitaji mume

Kuna watu huku mnajifahamu kwa majina yenu huwa mnatabia Ya kuharibu muktadha wa kila kitu nafikiri hata maana ya love connect haipo,ni jokes tu sitegemei great thinker kuwa hivi,mshukuru mungu ww unampenzi wako ,nimesema mtu haoni ,then mmeishia kutania.
 
<br />
<br />
Ungeweka maelezo haya toka mwanzo tungeshajitokeza mapema...
 

bora umenisaidia kuongea coz me huwa nakasirika hadi natamani kuingia kwenye screen...mwisho wa siku naishia kusema 'anawashwa huyu'
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…