ndetichia
JF-Expert Member
- Mar 18, 2011
- 27,767
- 6,575
mhhh niko hapa jamani,sitanii nnatafuta mume sio ndungandunga maana mmejaa humu
please shosti watch out
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mhhh niko hapa jamani,sitanii nnatafuta mume sio ndungandunga maana mmejaa humu
<br />Kuna watu huku mnajifahamu kwa majina yenu huwa mnatabia Ya kuharibu muktadha wa kila kitu nafikiri hata maana ya love connect haipo,ni jokes tu sitegemei great thinker kuwa hivi,mshukuru mungu ww unampenzi wako ,nimesema mtu haoni ,then mmeishia kutania.
mhhh niko hapa jamani,sitanii nnatafuta mume sio ndungandunga maana mmejaa humu
hahahhhahahahaaahhah sichagui mpendwa yashafika shingonimgogo utampenda nikutaftie mmoja huku.
Kuna watu huku mnajifahamu kwa majina yenu huwa mnatabia Ya kuharibu muktadha wa kila kitu nafikiri hata maana ya love connect haipo,ni jokes tu sitegemei great thinker kuwa hivi,mshukuru mungu ww unampenzi wako ,nimesema mtu haoni ,then mmeishia kutania.
bora umenisaidia kuongea coz me huwa nakasirika hadi natamani kuingia kwenye screen...mwisho wa siku naishia kusema 'anawashwa huyu'