Binti Unahitaji mume

Binti Unahitaji mume

Safety last

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2011
Posts
4,236
Reaction score
1,411
Dada unayetafuta mwenzi wa maisha naomba unipm ili nikuungani na mume wako karibu sana
 
wadada angalieni msije mkachunwa ngozi tu. naskia dar sku hzi kuna serial killer anayetafta wadada wake za watu na kuwaua, take care na hawa "natafta mke"
 
jamani twauzwaaaaaaaa!!!!!!! mchana kweupeeeeee!!!!!!!
 
Jamani huyo mwanaume anayetafuta mke ni KIPOFU kwa hiyo aliniomba kama kuna namna anaweza akapata mwenza then i post to you lovely ladies .he is a graduate teacher.sijui thread ilivyokaa ila nasikitika mmechukulia utani.this friend of mine need a partner for any woman who sincerely need a potential husband just communicate
 
jamani huyo mwanaume anayetafuta mke ni kipofu kwa hiyo aliniomba kama kuna namna anaweza akapata mwenza then i post to you lovely ladies .he is a graduate teacher.sijui thread ilivyokaa ila nasikitika mmechukulia utani.this friend of mine need a partner for any woman who sincerely need a potential husband just communicate

potential husband!! Ril??
 
mhhh niko hapa jamani,sitanii nnatafuta mume sio ndungandunga maana mmejaa humu
 
wadada angalieni msije mkachunwa ngozi tu. naskia dar sku hzi kuna serial killer anayetafta wadada wake za watu na kuwaua, take care na hawa "natafta mke"

au jamaa kampa dili nini..
 
Back
Top Bottom