Binti wa bongo fleva ninayempenda sana

Duuhh mkuu kweli bna me mwenyw napendaga kuchanganya mboga kuna style nyingine akina vera sidika na snura huwez kumkunja ila hawa akina nandy na vmoney ata utumbo unaweza kujikunja ....kuchanganya mboga muhimu
Apo tuko sawa mkuu.... Watu hawajiulizi mbna masanamu ya matangazo kwny maduka ya nguo za kike hamna sanamu la dem mwny makalio makubwa[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Mimi muniwekee kale kalikoimba "Jitume" sikajui hata jina nashindwa kukasearch. Halafu kanacheza stepu hivi kama kanaogelea kwenye dimbwi
Weka japo line moja ya wimbo wake jitume ndo nini sasa
 
Mkuu umenifurahisha saana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…