Binti wa bongo fleva ninayempenda sana

Binti wa bongo fleva ninayempenda sana

Mi nakapenda ka-Gigy Money. Ka-sweet, kako kama ka-baby.
 
.
 

Attachments

  • shishi.jpg
    shishi.jpg
    20.2 KB · Views: 25
Kiukweli maua sama yuko vizuri mno. Wimbo wake Sisikii naupenda mpaka kesho na kesho kutwa na mtondogo. Lakini kuna haka kadada kengine anaitwa Nandy. Duh!!! Ananikosha sana anamu overtake maua sama katika game kwa sasa.
Namshukuru Mungu kwa moyo alonipa kutamani kile kilichopo ndani ya uwezo wangu no stress

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom